Je, Ni Busara Vyama vya Siasa Kuingilia Utendaji wa Vyombo Vya Dola

Jul 10, 2012
14
1
Wana Jamvi, Ni Busara viongozi wa Kisiasa Kutuhumu na Kukashfu watendaji wa Vyombo vya dola ambao ndio walinzi wa Nchi yetu. Nimepitia Threads kadhaa na kuona kuwa Wakuu wa Dola wanafanyiwa kejeli na kutuhumiwa kwenye mambo mengi ya kizushi eti tu kwa sababu wanalipwa mishahara ya walipa kodi. Lakini ikumbukwe kuwa walipewa dhamana hizo kisheria na wanafanya chini ya utaratibu wa kisheria. Tuhuma dhidi ya Ahmed Msangi kuhusu simu ya ulimboka, baada ya kujibiwa wote waliozusha wamepotea na kukaa kimya, hususan baada ya Dr Mkuu wa Muhimbili kuthibitisha kuwa Ulimboka hakuwahi kumwambia msangi arudishe simu. Na tuhuma nyingine nyingi ikiwemo ya majuzi
 
Angelikuwapo Gadafi angekujibu, Mubarak mahututi, labda jaribu kumpigia Mandela atakwambia.
 
mtu akishiba sana baada ya hapo hu---! na ukichok amani unajihisi unaweza kujilinda! napendekeza vyombo vya ulinzi viende likizo miezi mitatu tulindane wenyewe kwa wenyewe!
 
Back
Top Bottom