Je, ni bora uwe kwenye mahusiano na mtu unayempenda lakini humwamini au unayemwamini lakini humpendi?

Mahusiano hujengwa na vitu vingi kama mapenzi, imani, huruma n.k towards mwenzi wako. Mahusiano 'ideal' ni yale ambayo unampenda, unamthamini, unamhurumia, unamuamini, unamtamani mpenzi wako. Lakini mara nyingine unaweza kulazimika kukubaliana na hali na kuchagua vita yako ya kupigana.

Je, ikitokea umepewa chaguo kati ya kuwa na mtu unayemwamini bila kumpenda na unayempenda bila kumuamini utachagua ipi?

View attachment 1752551
Apo ni vizuri ukawa nao wote kwa pamoja.
Mmoja wa kujifariji na mmoja wa kumpumzikia
 
Back
Top Bottom