je ni bank gani inayotoa huduma ya paypal account? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

je ni bank gani inayotoa huduma ya paypal account?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Rapunzel, Jul 16, 2012.

 1. Rapunzel

  Rapunzel JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,089
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  habari zenu wadau!
  naomba kufahamishwa ni bank gani inayotoa huduma ya paypal account na process zake zikoje?
  asanteni.
   
 2. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,567
  Likes Received: 1,930
  Trophy Points: 280
  Nadhani zote zinazosupport VISA na MASTER CARD. Uhakika, mie natumia account ya CRDB ambayo nimelink na paypal. Process zao si ngumu:
  1. Nenda bank ya CRDB omba fomu ya kuunga card online. Jaza hapo hapo kisha subiri ndani ya 24hrs inawezeshwa.
  2. Fungua paypal account (kama huna). Kisha fanya process za kuunga card yako na paypal, verify.
  3. Subiri siku 3-5, nenda bank chukua statement. Utakuta secret code imetumwa. Ingiza kwenye account yako ya paypal.
  4. Anza kufanya manunuzi kwa fujo.
   
 3. Rapunzel

  Rapunzel JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,089
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  nashukuru sana kwa kunifahamisha
   
 4. Gedeli

  Gedeli JF Gold Member

  #4
  Jul 18, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 452
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  exim bank wanatoa hii huduma kwa kutumia silver card au gold card
   
 5. Lilian Masilago

  Lilian Masilago Verified User

  #5
  Jul 18, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 246
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna gharama zozote za kufungua hiyo paypal?ni kiasi gani?
   
 6. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #6
  Jul 18, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,567
  Likes Received: 1,930
  Trophy Points: 280
  Kwa CRDB gharama yako ni kuwa na account tu. Kama una akaunti nenda kaombe fomu za kuunga paypal hata kama huna salio.
   
 7. U

  Uswe JF-Expert Member

  #7
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Nafikiri

  4. weka pesa ya kutosha kwenye accout yako, halafu 5. iwe hiyo kwenye red
   
 8. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #8
  Jul 18, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,567
  Likes Received: 1,930
  Trophy Points: 280
  Si lazima hata kidogo. Paypal inafanya transaction moja kwa moja kutoka kwenye account yako halisi kwenda kule utakako. Hawahifadhi pesa zako labda kama ni malipo yanafanyika kwenye akaunti yako ya paypal, lakini si wewe kutumia credit card kuhifadhi pesa zako paypal. Unapofanya manunuzi hakikisha tu kwamba unapesa kwenye akaunti yako halisi.
   
 9. U

  Uswe JF-Expert Member

  #9
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  ndio inabidi ajaze pesa ya kutosha kwenye hiyo uliyoiita account yake halisi kabla ya kufanya manunuzi kwa fujo, au?
   
 10. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #10
  Jul 18, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,567
  Likes Received: 1,930
  Trophy Points: 280
  Swadakta!!!!!!!!!!!!
   
Loading...