Je, ni ant virus gani ni nzuri kutumia kwenye simu?

MR. IBU

JF-Expert Member
Aug 13, 2012
1,380
2,963
Msaada, kwa anayejua ant virus ambayo inafanya kazi vizuri kwenye simu. Na naipata wapi?
 
Sim inakua na self protection wenyewe dhidi ya virus, hivyo inakua ndio system ya android au apple walivyo, kama kuna kitu kiko unwanted itakuambia automatic ukitoe na inakuletea option ya kukiremove wenyewe unakiondoa, but pia kuna ant virus ukitaka unaweza kutumia ili kuscan external memory, hakikisha sim yako iko update latest version coz ndio zinakuja na anti-virus wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom