Je ni akili au uzoefu tu? Yaani watu wanaoitwa wana Akili!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Hili jambo limekuwa likinichanganya sana yaani tofauti ya akili na uzoefu, kuna watu wengi husifiwa sana kwamba wao ni vichwa kwa sababu wanajua mambo mbali mbali sasa swali langu ni Je, hawa watu huwa wana akili au wana uzoefu tu hayo mambo?

Nitatoa mfano Watz wengi ambao ni hodari wa kukosoa mambo yote tunayofanya hapa TZ kuanzia kwenye siasa mpaka maisha yetu ya kawaida ni watu ambao wameishi au wanaishi nje ya TZ, hivyo kuishi nje ya TZ huwapa uwezo wa kuona mambo tofauti na Watz ambao hawajawahi kuishi nje ya TZ, sasa Je ni sawa kuwaita hawa Watz kwamba wana akili kuliko sisi tunaoishi TZ au ni kwamba wana uzoefu tu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom