Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,833
- 155,781
Mi kwa ngoma za asili, hapo umenifikisha.
Last edited by a moderator:
zilipendwa za Marijani Rajbu na wengineo.
Mie kitu cha salsa bana . . . wee!
Mapambio.
Siku hizi mdundiko huchezi eeh. Nilikuambia hao wajukuu watavunja mgongo hukusikia
Mie kitu cha salsa bana . . . wee!
Taarabu maana napenda kuwashika wenzangu mawowowo.
we huwa hushikwi? au wowowo lako lipo sealed!!
Wowowo langu liko Sealed shem.
Ili uliguse yatakiwa uingize Password.
Usiniulize unaingizia wapi hyo Password.
mmmh na bora umeniwahi maana ndio swali nililokua nataka nikuulize...
We unahs itakuwa wapi?
Mdomoni au?