Je, New Media ilifanikisha kitu kwenye uchaguzi mkuu wa 2015??

mangesani

Senior Member
Jun 20, 2016
159
88
Swali kwa wana jukwaa la siasa na wachambuzi wa Jamiiforums

Kuna vyama au baadhi ya watu waliokuwa wametumia pesa na influence kununua coverage na influence kwenye local na international media

Je new media au social media au mtandao ya kijamii ilitumika kwa kiasi gani kuutangaza na kuuza wagombea? Je platform jamiiforums iliweza kushindana na whatsapp?

Je vyama kama ACT / Chadema/ CCM wali we za kuinfluence matokeo kwa kutumia new media?

Situation Zanzibar ikoje?

Naona CUF wamekamata FACEBOOK na tandao wa Wazalendo but kimya cha CCM speaks volumes...

What about wagombea ambao waliamua ku go rogue na kutotumia new media propaganda machinery za vyama vyao?

Pasco et al naomba inputs zenu
 
Mtao bandiko anataka kujua, je ni kweli social media zilikuwa na ushawishi katika uchaguzi wa 2015?
 
Back
Top Bottom