Je neno''Kusondeka ndani'' ni Kiswahili Sanifu?

Farolito

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
11,634
26,372
Wakuu habari,
Jana wakati Mkuu wa nchi akizungumza na wafanyabiashara alisikika akitoa maagizo kua watumishi Fulani wakamatwe kisha 'wasondekwe ndani'

Je neno ''kusondeka ndani"ni sahihi kutumika?na kama si sahihi alipaswa kutumika neno gani mbadala?

Swala hili ni muhimu kwakua ni juzi tu katoka kukitangaza kiswahili huko Africa Kusini na kwingineko hivyo nchi yetu inatazamwa kama mfano katika lugha hii na hasa hotuba za Mkuu wa nchi.

Karibuni.
 
Kusondeka ndani maana yake ni kuwajaza ndani wote, yaani kusondeka hutumika kuashiria ujazo uliopitiliza kiwango
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom