Je, ndoto za Godbless Lema ni utabiri au sayansi ya uchawi katika siasa?

Kuna mambo siyo ya kuyaletea mzaha hata kidogo, Wengi yamewakuta na wengine wametwaliwa moja kwa moja kutokana na kile kinachoitwa ndoto anazooteshwa Godbless Lema iwe kwa kutamka hadharani au kutoa meseji kupitia akaunti yake ya twitter

Mwanzoni nilifikiri Godbless Lema anaangalia afya za wahusika yaani physical appearance na kuwatabiria Kifo na majanga, Hii ya kumuangalia mtu jinsi alivyo, anayoongea hata mimi nikiwa na umri wa utoto kabla ya kuanza kujihusisha na dhambi nilikuwa na uwezo wa kujua huyu ana shida na hata Chukua raundi ataondoka moja kwa moja yaani Kwaheri ya kuonana na Nilitamka kwa ndugu na hata wazazi waliona kama ninatisha tisha hivi lakini niliwaambia nimeota ndoto tu kuwa fulani ataondoka soon na yalitokea hivyo

Naongea haya kwa kuwa kuna wakati alimtabiri kiongozi wetu kifo na kusema ameoteshwa, Lema alikamatwa na kufungwa kwa mashtaka ya uchochezi lakini alipotoka jela bado alisema ndoto yake inajirudia rudia kuwa lazima huyo afe kama hajabadilika tabia

Godbless Lema Yeye haogopi anamwambia muhusika moja kwa moja kuwa yatamkuta matatizo mazito na Wengine anawaambia utakufa moja kwa moja, Nikiwaangalia baadhi naona hata afya zao zina mashaka makubwa sana

Uchawi ni sayansi kama sayansi zingine onyefu, Kuna baadhi ya watu wana maruani na viumbe vya kutisha wanatembea navyo huku wao wenyewe hawajijui ambavyo vinawapa nguvu kuona mambo ya hatari na yasiyoweza kuonekana kwa macho haya ya kawaida, Hawa wanapata taarifa ya msiba wako na ugonjwa wako kabla hata wewe huna dalili wala hujui lakini wao hufahamu na wanakuonea huruma

Utabiri upo karne na karne, Hata kwenye maandiko tunaambiwa kuna watu walikuwa na uwezo wa kusoma nyota na maandishi ya ajabu ajabu yasiyokuwa na maana lakini wao walitumia kutoa onyo au kutoa mawazo yao nini kinakwenda kutokea mfano wale Mama Jusi wa mashariki walipoona nyota tu wakahisi kuna kitu tofauti kabisa

Je anachofanya Godbless Lema ni uchawi au utabiri?

Kama ni utabiri kwanini utabiri wake unawakumba wale tu anaowatamkia uovu Wanaofanya na wala atabiri mambo ya Furaha kama mvua kunyesha vizuri na mengine mazuri

Kama ni sayansi ya uchawi kwanini tusimuombee aondokane na hayo maruani ya kutabiri vifo na mambo mabaya

Nimeanza kutishwa baada ya kuona Godbless Lema bado anawang'ang'ania watu fulani na mtu fulani kuwa ataondoka soon, Sasa ndoto hizi zinatufanya wana ccm kuanza kumuogopa maana akikutabiria unaweza ukapata presha kabla ya ndoto kutumia na watu wakatumia ndoto ya Lema kumbe tatizo ni Presha

You can predict, Ni akili tu! Mfano: Ndugai anaumwa, Ana stress, akicheza na asipotulia atakufa; Kama mwingine yeyote!

Magufuli alikuwa na battery moyoni, na matatizo kibao na ubishi, angekufa, issue Ni Lema aseme mtu atakufa this month, that is different!
 
Kumuogopa Lema bila kubadili matendo haisaidii.
Mihimu ni kuogopa matendo maovu na kutenda yaliyo mema.

Si vema kutabiria wenzako mabaya, lakini kuonesha mahali ubaya ulipo ili kutafuta mabadiliko chanya sioni kama ni tatizo.

Sent from my Nokia 3.1 using JamiiForums mobile app
Lema hakutabiri mabaya. Sentensi zake zilikua za kuwaonya kwamba "Kama hautajirekebisha..." na walipokiuka yaliwakuta. Na yataendelea kuwakuta
 
Kuna mambo siyo ya kuyaletea mzaha hata kidogo, Wengi yamewakuta na wengine wametwaliwa moja kwa moja kutokana na kile kinachoitwa ndoto anazooteshwa Godbless Lema iwe kwa kutamka hadharani au kutoa meseji kupitia akaunti yake ya twitter

Mwanzoni nilifikiri Godbless Lema anaangalia afya za wahusika yaani physical appearance na kuwatabiria Kifo na majanga, Hii ya kumuangalia mtu jinsi alivyo, anayoongea hata mimi nikiwa na umri wa utoto kabla ya kuanza kujihusisha na dhambi nilikuwa na uwezo wa kujua huyu ana shida na hata Chukua raundi ataondoka moja kwa moja yaani Kwaheri ya kuonana na Nilitamka kwa ndugu na hata wazazi waliona kama ninatisha tisha hivi lakini niliwaambia nimeota ndoto tu kuwa fulani ataondoka soon na yalitokea hivyo

Naongea haya kwa kuwa kuna wakati alimtabiri kiongozi wetu kifo na kusema ameoteshwa, Lema alikamatwa na kufungwa kwa mashtaka ya uchochezi lakini alipotoka jela bado alisema ndoto yake inajirudia rudia kuwa lazima huyo afe kama hajabadilika tabia

Godbless Lema Yeye haogopi anamwambia muhusika moja kwa moja kuwa yatamkuta matatizo mazito na Wengine anawaambia utakufa moja kwa moja, Nikiwaangalia baadhi naona hata afya zao zina mashaka makubwa sana

Uchawi ni sayansi kama sayansi zingine onyefu, Kuna baadhi ya watu wana maruani na viumbe vya kutisha wanatembea navyo huku wao wenyewe hawajijui ambavyo vinawapa nguvu kuona mambo ya hatari na yasiyoweza kuonekana kwa macho haya ya kawaida, Hawa wanapata taarifa ya msiba wako na ugonjwa wako kabla hata wewe huna dalili wala hujui lakini wao hufahamu na wanakuonea huruma

Utabiri upo karne na karne, Hata kwenye maandiko tunaambiwa kuna watu walikuwa na uwezo wa kusoma nyota na maandishi ya ajabu ajabu yasiyokuwa na maana lakini wao walitumia kutoa onyo au kutoa mawazo yao nini kinakwenda kutokea mfano wale Mama Jusi wa mashariki walipoona nyota tu wakahisi kuna kitu tofauti kabisa

Je anachofanya Godbless Lema ni uchawi au utabiri?

Kama ni utabiri kwanini utabiri wake unawakumba wale tu anaowatamkia uovu Wanaofanya na wala atabiri mambo ya Furaha kama mvua kunyesha vizuri na mengine mazuri

Kama ni sayansi ya uchawi kwanini tusimuombee aondokane na hayo maruani ya kutabiri vifo na mambo mabaya

Nimeanza kutishwa baada ya kuona Godbless Lema bado anawang'ang'ania watu fulani na mtu fulani kuwa ataondoka soon, Sasa ndoto hizi zinatufanya wana ccm kuanza kumuogopa maana akikutabiria unaweza ukapata presha kabla ya ndoto kutumia na watu wakatumia ndoto ya Lema kumbe tatizo ni Presha
Lema hatabiri bali anaonya Luna tofauti kati ya utabiri(unabii/ramli) na maonyo Lema ingelikuwa zamani ni sawa na Nuhu au Yona msilikize ubadilike upone kama Ninawi kataa na uangamie.
 
Hakuna utabiri wowote amewahi kuutoa huyo Lema.

Anachofanya ni KUWAOMBEA MABAYA tu WABAYA wake kwa kujifanya anawatahadhalisha.

Mfano Magu kafa kwa kudharau COVID-19 na siyo kwasababu eti kawadhibiti wapinzani.

Sabaya ni system imemtema nje baada ya aliyekuwa anamlinda kufa. Ila hata sasa anaweza kusamehewa na akarudi kawaida.

Ndugai kapishana tu na Rais na wala hakuna uadui huo mkubwa maana ataendelea kuwa spika mstaafu.
Una mengi ya kujifunza
 
Una mengi ya kujifunza
Kutoka kwa Lema 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Vijana wa chaggadema mna matatizo makubwa sana.

Ni lini alitabiri vifo vya kina NDESAMBURO, KAKA WA MBOWE na wengine.

Au yeye kazi yake ni kutabiria vifo wabaya wake tu
 
Kufa ni jambo la lazima, kwakuwa kila binadamu ataonja umauti

Mbowe kafiwa na baba yake mdogo, kisha akafiwa na Kaka yake
Pia Chadema wameondokewa na wazee kadhaa akiwemo Prof Mwesiga Baregu

Mbowe yupo ndani toka July 2021 kesi ya ugaidi

Je maono ya Lema hayakuona haya au alimnong'oneza Mbowe kimya kimya..!??

Anachokifanya Lema ni kuombea vifo watu asiowapenda na sio utabiri

Ishu ya Sabaya ni system ndio imeamua kudili nae, na system hio hio ilioamua kutodili na Makonda, lakn pía ni system hii hii itakayomuachia huru Sabaya.
Ni swala la muda tu
 
Matendo ya Magufuli yalikuwa ya HOVYO sana na yalikuwa hayamfurahishi Mungu. Kwa mfano jnawatia kazini wenye vyeti FEKI na kuwanyima mafao, huku unambakiza Makonda mwenye cheti feki kama Mkuu wa mkoa.

Unawabomolea nyumba bila kuwalipa watu wa Kimara, halafu nyumba za wasukuma wa Mwanza unasema zisibomolewe.

Watu wanatoa Kodi lakini wana mbunge wa UPINZANI Magufuli anasema hapekeki maendeleo.

Anawanyanga'anya matajiri fedha kwa kisingizio cha ufisadi kisha kuwatupa rumande.

Halafu Jumapili anakwenda Kanisani na kusema "niombeeni". Tukuombee nini shetani mkubwa Magufuli?

Kwa kweli tulimuombea age. Na ndiyo maana hata Lema akayaona maombi yetu
Zungumza na ya mbowe dhidi ya chacha wangwe? Juzi juzi mbowe kafiwa na kaka yake kisha baba mdogo, je ni karma ya kumuudhi mungu?
Kifo cha sengodo Mvungi, Mwangosi nk enzi za awamu ya nne zilimfurahisha Huyo Mungu anayemsema?
Kifo ni lazima kwa kiumbe hai yoyote, acheni umbea na uoga.
 
UKWELI kila mtu Mungu anaweza zungumza naye akamwonyesha Mambo tofauti tofauti mtu YEYOTE .pia ktk dunia hakuna jipya...yote haya Ni marudio.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom