Je ndoa yenu imechelewa kupata mtoto? ukweli ndio huu!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je ndoa yenu imechelewa kupata mtoto? ukweli ndio huu!!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bujibuji, Sep 13, 2012.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,333
  Likes Received: 22,181
  Trophy Points: 280
  Wanawake wanamegwa na midume hovyo akiona hapati mtoto kutoka kwa mume wake wa ndoa.
  Chanzo cha jitihada hizi ni kukwepa lawama kutoka kwa mama mkwe na mafiwi.
  Pia wanaume wengi hawako tayari kupima afya ya uzazi.
   
 2. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Hilo ni janga la kitaifa
   
 3. kapistrano

  kapistrano JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,204
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  million of thax to you!
   
 4. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,640
  Likes Received: 1,429
  Trophy Points: 280
  mmmmh hao wanaoenda kutafuta huko nje wanakua wameshajua tatizo ni nini?
   
 5. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #5
  Sep 13, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,335
  Likes Received: 2,659
  Trophy Points: 280
  Tatizo linakua limejulikana ndio maana nje kunahusika ili kupigia mstari jibu
   
 6. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #6
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Habari ndo hiyo
   
 7. promiseme

  promiseme JF-Expert Member

  #7
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 15, 2010
  Messages: 2,715
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 135
  Mungu anistiri lakini ntasubiri na ntajitahidi kutafuta mbinu nyengine lakini sio za kulala na mwanamme mwengine...
   
 8. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #8
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 556
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  zingne zip?
   
 9. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #9
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  mmmh. . . . !
   
 10. Mabreka

  Mabreka JF-Expert Member

  #10
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 709
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kweli yawezekana, coz nina mifano hai
   
 11. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #11
  Sep 13, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Msimamo imara wa mwanamke anaye jua kujithamini.
   
 12. Uhalisia Jr

  Uhalisia Jr Senior Member

  #12
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii imekuja kwa mshangao! Duh kumbe!!!!!!!
   
 13. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #13
  Sep 13, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Jamani sitetei upuuzi huu, sasa ikiwa tumejaribu miaka 3-4 na hutaki kupima afya unategemea nini, kila mwanamke anahitaji kuwa mama one day, lazima njia mbadala itatumika.

  Conclusion, acheni uwoga wa kucheck afya saa nyingine matatizo ni madogo, pili msiwaache mama na dada zenu kuwanyanyapaa wake zenu.
   
 14. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #14
  Sep 14, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,333
  Likes Received: 22,181
  Trophy Points: 280

  MadameX bora umeongea ukweli, wanawake wengi wanapinga licha ya kuwa huwa wanamegwa na waganga wa kienyeji ili wapate mimba.
  Mbinu za waganga ni kwamba eti dawa inapakwa kwenye mchi halafu mganga anaingiza mchi wake kwenye kinu cha mwanadada
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #15
  Sep 14, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,333
  Likes Received: 22,181
  Trophy Points: 280

  MadameX bora umeongea ukweli, wanawake wengi wanapinga licha ya kuwa huwa wanamegwa na waganga wa kienyeji ili wapate mimba.
  Mbinu za waganga ni kwamba eti dawa inapakwa kwenye mchi halafu mganga anaingiza mchi wake kwenye kinu cha mwanadada
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. data

  data JF-Expert Member

  #16
  Sep 14, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,776
  Likes Received: 6,544
  Trophy Points: 280
  eeehhh,.?
   
 17. promiseme

  promiseme JF-Expert Member

  #17
  Sep 14, 2012
  Joined: Mar 15, 2010
  Messages: 2,715
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 135
  Kwenda kuonana na madaktari bigwa...
   
Loading...