Je Ndoa Yako Itafika Huku!? Mungu Akuwezeshe!

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
USIOMBE TU mungu akupe ndoa wengi wanateseka sababu ya midomo yao omba ndoa yenye upendo yenye baraka yenye utulivu wengi wakishaumwa na nyigu ndio wanaanza maombi ya ndoa yenye utulivu wakati huo mzigo uko kwenye mizai ya tanaroads lazima umalizane nayo lazima umalizane na kila kitu kabla ya tukio halisi kufikia tamati

Mungu akupe wewe unaeenda kuoa kesho na keshokutwa upendo wa amani katika ndoa yako
 
mkuu hapa cha kuombea sio ndoa je wewe utafika huko pamoja na mwenzio ikiwa hata ugali mnatamani ziwasongee mashine.
 
Ukiwaona hapo usije fikiri walijuana ujanani.... Ukute walipita mapito kila mmoja peke yake wakakutana watu wazima wakati akili zimetulia wote wawili. Ikiwa hivo hapo mnafika ni kuomba tu uzima.
 
USIOMBE TU mungu akupe ndoa wengi wanateseka sababu ya midomo yao omba ndoa yenye upendo yenye baraka yenye utulivu wengi wakishaumwa na nyigu ndio wanaanza maombi ya ndoa yenye utulivu wakati huo mzigo uko kwenye mizai ya tanaroads lazima umalizane nayo lazima umalizane na kila kitu kabla ya tukio halisi kufikia tamati

Mungu akupe wewe unaeenda kuoa kesho na keshokutwa upendo wa amani katika ndoa yako

Nina wasiwasi hiyo inaweza kuwa nyumba ndogo aisee..................!
 
yangu itafika, nina matumaini makubwa maana nina juhudi ktk kuimwagilia na kuipalilia kuondoa magugu maji na kuweka mbolea kuhakikisha inastawi kila siku ....

Hata wewe ukiamua, unaweza. Saa nyingine ni juhudi zako binafsi.
 
Mungu akupe baraka zaidi na mtangulize yeye kaktika ndoa yako utafika tu mkuu.Na kumbuka kuwa tunaishi mara moja tu lakini tukiishi vizuri mara moja inatosha.
 
Itafika kukiwa na maandalizi ya kuifikisha huko na Neema ya mungu ya Uhai

Huwa hazifiki huku kwa kubahatisha

Pia usidhani Hakuna milima na mabonde, sio kweli, Ni UVUMILIVU na KUSAMEHEANA na KUCHUKULIANA KWA UPENDO
 
Back
Top Bottom