Mpauko
R.I.P
- Jan 19, 2019
- 2,323
- 3,353
Habarini wakuu?
bila kupoteza muda tujikite kwenye mada,
wakuu naishi Mtwara japo ni mzaliwa wa Iringa,miaka 24 iliyopita na nimehitimu mafunzo ya ualimu Grade A mwaka 2018.
Mwaka juzi nikiwa nipo chuoni mzee wangu ambaye ndie mtegemezi pekee wa familia yetu alifukuzwa kazi (alikua ni mwajiriwa shirika la posta tena kwa kutoelewana hadi hawakumlipa stahiki zake so tuka go down moja kwa moja to zero) tatizo likaanzia hapa nilikuwa chuo binafsi nilichopangiwa baada ya udahili,hivyo ikanilazimu kupambana tu hadi kuhitimu nikiwa na deni about 1.5 mil
nilijipa moyo kuwa nikimaliza masomo nitafanya vibarua niweze kulipa hili deni kusudi nipate cheti changu imagine ajira zikitoka leo hii sitoweza kuapply coz chuo hakitakubali kunipatia vyeti vyangu bila kulipa pesa yao.
the problem is that kila napotafuta vibarua HAWANITAKI,naweza wasiliana nao wakasema andika barua ila the day barua naipeleka wakanotify kuwa nasumbuliwa USIKIVU HAFIFU wanareject macho makavu tu! Hawatoi hata nafasi ukaonesha ulichonacho! Na hii ina-happen continuously since nimegraduate 2018 mwez april until now sijawahi bahatika pata kibarua chochote,lakin hilo kwangu si tatizo naendelea kutafuta!
TATIZO kubwa linaloniumiza na kunitia mawazo ni kuwa family yangu since imeyumba hadisasa hali ni ngumu na wadogo zangu wawili wamestop masomo.
KWAHIYO sina uwezo wa kukipata cheti changu na kwenye vibarua na hata volunteer HAWANITAKI husema tu sisi hatuajili walemavu,hatuajiri mwalimu wa kujitolea asiyesikia,huiwezi hii kazi n.k
je! Nawezaje pata cheti changu? Na ungekuwa wewe ungefanyaje?
ikiwa matumaini ya kupata cheti ni madogo hivi itakuaje post zkitoka na jinsi zilivyo adimu kupoteza nafasi ya kujaribu kuapply kisa cheti kipo mikononi mwa chuo si inakatishatamaa mno ukizingatia hizi challenge za kutozingatiwa mtaani utayainua vipi maisha yako?
Nini cha kufanya?
NOTE:
-una ndugu wale wanafiki haswa ambao ukiingia shida ndo wanakuombea tu hata ufe ili usiwasumbue.(bahati mbaya kutokana na kupata deafness ndo wamekudharau kabisa kiasi wanaona ukamsaidie bibi yako kulima huko village)
-uko down to zero
-uko na usikivu hafifu