Je, naweza tumia matokeo yangu ya kidato cha pili yenye wastani wa c kusoma nqf level 2 to 6?

Vf-successfully

JF-Expert Member
Oct 25, 2017
253
166
Wakuu habari zenu,

Mimi nilifaulu kidato cha pili 2012 kwa wastani wa C je naweza kwenda chuo cha ufundi kusoma ili nifanikiwe kupata hata diploma na umri umekimbia ni miaka 24 sasa msaada.

Kwa ushari je naweza ludi shule!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom