Je, naweza pata laptop gani nzuri

52759632_629079800879294_8630486904409686016_n.jpg
 
Unataka kutumia kwa matumizi gani mkuu mana watumiaji wa laptop wamegawanyika makundi mengi kulingana shughuri anayoenda kufanyia
 
Me kazi yangu kubwa ni games kuandika na kusikiliza music bac

Sent using Jamii Forums mobile app
Okay inategemea na games unazocheza ila kwa laptop nzuri kucheza games za kisasa itakulazimu kuanzia laki 5 kwa used za kibongo
Ila unaweza pata kwa bei hiyo wakati mwingne hutokea mtu anauza kwa shida tu
ila kwa dukani utapata nzuri kwa bei hiyo
 
Asante kwa ushauli wako ngoja bac nizichange ili ziwe jing bado kdogo tu

Pamoja mkuu me huwa napataga mara kwa mara ikitokea nzuri bei nafuu nitakujuza
ila huwa n USED km utapenda nitumie namba yako PM au waweza wasiliana nami kwa 0777039477 ikipatika tutawasiliana
napatikana MAKUMBUSHO stand
 
Ongeza kidogo nikipatie yangu hp probook 6360b processor intel core i5 cpu@2.5GHz RAM 4GB HDD 500 window 7 inch 13’ iko katika hali nzuri ukitaka nmeupgrade thus why naiuza picha ntakutumia pia kama uko Dar itapendeza zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nina dell latitude 6410
processor i5
ram 5gb
hdd 500
speed 2.4ghz dual
window10
betry 2hours+
bei 380000shl.
ipo katika hali nzur na haina shida yoyote.
location dar mabibo.
0756910071

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom