Northern Eagle
Member
- Dec 9, 2018
- 66
- 52
Habari zenu wakuu,Mara nyingi nimeona wanaume wengi wanachukizwa na nywele zinazoota kwenye kifua na tumbon( garden love)i.Hili likoje wadau na je kuna dawa yoyote ya kuweza kuondoa kabisa hizi nywele zisiote tena naombeni tufahamishane wakuu maana muda mwingine zinakera sana.