Je, naweza kuzuia nywele za kifuani au 'garden love' zisiote?

Dec 9, 2018
66
52
Habari zenu wakuu,Mara nyingi nimeona wanaume wengi wanachukizwa na nywele zinazoota kwenye kifua na tumbon( garden love)i.Hili likoje wadau na je kuna dawa yoyote ya kuweza kuondoa kabisa hizi nywele zisiote tena naombeni tufahamishane wakuu maana muda mwingine zinakera sana.
 
Zipige kiberiti tuu mkuu hazitorud tenaa
 
Kuna baadhi ya salon wanazinyofoa kwa mtindo wa kubandika aina fulani ya masking tape yenye gundi inayoshika sana kisha wanaivita kwa haraka kama vile wanachana mfuko wa saruji chraaaaaa( zinang'oka) lakini huwa zinaota tena baada ya muda
 
Nashukuru sina hizo.

Ni watu wachache sana wenye nazo.

Napenda sana za WALIMBWENDE pale kuanzia kwenye KINENA mpaka kuja juu KITOVUNI.

Sema tatizo katika WALIMBWENDE kumi unaweza usibahatike kuziona hata kwa mmoja.

ADIMU sana
 
:D:D yajayo yanafurahisha,,,,
 
Nashukuru sina hizo.

Ni watu wachache sana wenye nazo.

Napenda sana za WALIMBWENDE pale kuanzia kwenye KINENA mpaka kuja juu KITOVUNI.

Sema tatizo katika WALIMBWENDE kumi unaweza usibahatike kuziona hata kwa mmoja.

ADIMU sana
Kumbe mnazipenda ntaanza kuzifuga
 
Habari zenu wakuu,Mara nyingi nimeona wanaume wengi wanachukizwa na nywele zinazoota kwenye kifua na tumbon( garden love)i.Hili likoje wadau na je kuna dawa yoyote ya kuweza kuondoa kabisa hizi nywele zisiote tena naombeni tufahamishane wakuu maana muda mwingine zinakera sana.
Unajitafutia matatizo mkuu, hizo nywele zina kazi yake kiafya. Mungu hajaweka kama urembo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wakuu,Mara nyingi nimeona wanaume wengi wanachukizwa na nywele zinazoota kwenye kifua na tumbon( garden love)i.Hili likoje wadau na je kuna dawa yoyote ya kuweza kuondoa kabisa hizi nywele zisiote tena naombeni tufahamishane wakuu maana muda mwingine zinakera sana.
Wewe utakua mvulana bila shaka......ndio umeandika kitu gani sasa ??? Jaribu kumwagia maji ya betri mkuu
Screenshot_2019-01-03-10-47-18-1~2.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom