toplemon
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 4,581
- 4,626
Wakuu jee naweza kutumia kioo cha simu nyingine kuweka katika simu yangu
Mfano unatumia infinix simu yako ikaharibika kioo ukakosa cha infinix lakini kuna vya tecno, samsung au vivo ambavyo vina ukubwa sawa na cha simu husika katika display size inches?
Mfano simu yangu kioo chake ni Display: 5.7 inches, 720 x 1600
Na kioo cha brand ya samsung nachotaka kuweka kwenye simu yangu ni Display 5.7 inches, 720 x 1560
Jee inafaa?