Je naweza kutumia charger (adapter) USB Type-C ya laptop kuchajia simu?

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
4,052
12,906
Nina laptop unayotumia adapter ya USB type C na simu ya charger ya USB type C.

Sasa naomba kuuliza je naweza kutumia hii adapter laptop kuchhaji simu?

Kuna siku nilijaribu ila ofisini pale mtu mmoja akanitisha kua nitaua simu au itaungua ingawa alienipa tahadhari sio mtaalamu wa mambo ya umeme wala mtaalamu wa mambo ya simu na laptop.

Sasa naomba kuuliza wataalamu, je naweza kutumia adapter type c kucharge simu yangu?
 
Utaua simu yako, hizo type c za laptop si kwa ajili ya simu ingawa zinafanana na za simu.
 
Sio kila anayekupa tahadhari lazima awe mtaalamu,wengine yamewatokea so wanafanya uungwana kukupa ushauri
 
Nina laptop unayotumia adapter ya USB type C na simu ya charger ya USB type C.

Sasa naomba kuuliza je naweza kutumia hii adapter laptop kuchhaji simu?

Kuna siku nilijaribu ila ofisini pale mtu mmoja akanitisha kua nitaua simu au itaungua ingawa alienipa tahadhari sio mtaalamu wa mambo ya umeme wala mtaalamu wa mambo ya simu na laptop.

Sasa naomba kuuliza wataalamu, je naweza kutumia adapter type c kucharge simu yangu?
Angalia voltage mkuu ama kusaidia zaidi piga picha hio adapter upande wenye maandishi yenye specs za adapter uweke hapa, wadau watakuangalizia kama inafaa kwa simu.

Kuna baadhi ya laptop zina processor kama simu hivyo zinashare adapter na simu.
 
20200328_140608.jpg
 
Back
Top Bottom