Kupenda kujua
Member
- Nov 30, 2016
- 18
- 9
Naomba kujua, Mimi Nina div 3 ya pts 25, (Civ-C, Eng-C, Kisw-C, Hist, Geo, Bio, Math, Common ni D na B/keeping F) je naweza rudia Hist na Geo tu, maana nasikia lazima nirudie masomo 7, wengine wanasema udahili unafanywa kwa sitting moja tu. Tafadhali mwenyewe kuelewa anisaidie.
Asante
Asante