Je naweza kupata Vodacom Modem make ya ZTE zile za mwanzo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je naweza kupata Vodacom Modem make ya ZTE zile za mwanzo?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by eedoh05, Sep 3, 2012.

 1. e

  eedoh05 JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 633
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Wana-JF naweza kupata modem za mwanzo za vodacom ambazo ni aina ya ZTE na sio hizi za sasa za huawei?
   
 2. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  mkuu kuna siri gani ya hizi mordem hebu tudokeze mana hizi za sasa za vodacom E173 ni bora bora kuliko zile za ZTE K3570-Z kwanza kwa kuchakachua ni rahisi zaidi ya zile za ZTE mpaka utumie join air pili zina speed kubwa ya 7.2mbps zaidi ya zile ZTE zina 3.5mbps na zile kwa sasa zinapatikana mikononi tu kwa watu
   
 3. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #3
  Sep 4, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,818
  Likes Received: 7,153
  Trophy Points: 280
  mi nimeziona leo uhuru na congo zipo bado
   
 4. Shaffin Simbamwene

  Shaffin Simbamwene Verified User

  #4
  Sep 4, 2012
  Joined: Nov 16, 2008
  Messages: 1,157
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  hivi hizi Huawei E173 na E303 zote za voda zina utofauti gani?
   
 5. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #5
  Sep 4, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,655
  Trophy Points: 280
  Tell me something Fatma,
  Hivi sasa Tigo wametoa modem ambazo ni E173...na kwa muundo is almost the same as hizo za VodaE170, kasoro ni rangi tu...wakti ya voda ina Red Ribbon na ya Tigo ina Black Ribon.....!!! Unazani hata hizi za tigo zina ubora, in terms of speed the same as hizo za Voda?!
   
 6. nxon

  nxon JF-Expert Member

  #6
  Sep 4, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,149
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  yah sure!
   
 7. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #7
  Sep 4, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  hizi hazina tofauti speed zoteni ni sawa tofauti yake E173 ni rahisi kuichakachua inachakachulika kwa unlock code tu bali hizi za E303 ni ngumu kidogo kuzichakachua ni mpaka ku kubadili firmware ndio mana voda wameamua kuziondoa hizi za E173 wakaleta hizi ya E303 ili watu wasipate mteremko
   
 8. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #8
  Sep 4, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35

  yah sasahivi kila kampuni inatoa mordem yenye speed ya 7.2mbs mana airtel ameshatoa na voda ameshatoa sasa na tigo pia naona asibaki nyuma wote wameamua watoe speed ya 7.2mbps wenzetu wa kenya ndio walitutangulia safaricom walianza kutoa mordem ya 7.2mbs kwahiyo sasa na sisi inatupasa tubadilishe mordem zetu za zamani zenye speed ya 3.5mbs kwa wale wanaopata vizuri 3g na ukawa unatumia mordem ya zamani basi utakuwa kama unajidhulumu mwenyewe kwa kutumia mordem yenye limit ya speed wakati kwako 3g inapatikana vizuri kwako

  kwahiyo hizi mordem zote mpya ziko bomba ila mordem bora zaidi ni ya vodacom E173 sababu ni rahisi kuichakchua ili kucheza miguu yote
   
 9. e

  eedoh05 JF-Expert Member

  #9
  Sep 4, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 633
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Ni urahisi wa bei, kuhusu speed nadhani hii hutegemea pia maeneo na coverage ya masafa ya mtandaohusika. Na kuhusu gharama za bundles hii sio issue kwani bei ni subjective to change.
   
Loading...