Je naweza kupata charger za simu zisizotumia umeme?

Kimbori

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
5,450
3,202
Poleni kwa majukumu.
Naomba kujua ikiwa kama naweza kupata habari sahihi juu ya uwepo wa charger za simu zinazotumia betri za kawaida, hususani betri ndogo, yaani charger zisizotumia umeme.
Napanga kuanzisha mradi wa kwenda kuziuza vijijini.
Naomba mchango wako.
 
Zipo nyingi sana mkuu. tembelea K'koo kwenye maduka ya simu.
Pia zipo zinazotumia umeme jua.
Alafu mkuu umeme ni umeme tu sio kama sio wa tanesco basi ndo sio umeme.
 
Zipo nyingi sana mkuu. tembelea K'koo kwenye maduka ya simu.
Pia zipo zinazotumia umeme jua.
Alafu mkuu umeme ni umeme tu sio kama sio wa tanesco basi ndo sio umeme.

Ahsante kwa wazo lako. Naomba kujua aina (brands) bora, nasema hivyo kwa kuwa, kama ulivyosema zipo nyingi, nisije kutana na bandia.
 
Back
Top Bottom