Je, naweza kuolewa tena?

James Comey

James Comey

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2017
Messages
3,798
Likes
4,849
Points
280
James Comey

James Comey

JF-Expert Member
Joined May 14, 2017
3,798 4,849 280
Hii inaniuma sana sana, kila nikifikiria nasikia hukumu mno, nawaza itakuwaje

Kuna maswali yanakuja kichwani nakosa majibu

1.Je miaka yote hadi nazeeka nitaweza kuishi bila kumkosea Mungu?

2.Je nikifunga ndoa au kuishi na mtu Mungu anaitambua hiyo ndoa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee haya maswali uliyoyauliza hapa ni magumu kama nini! Hebu ngoja nione busara za wachangiaji, ingawa inawezekana haya maswali yakawa magumu kwa members wengi humu.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
James Comey

James Comey

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2017
Messages
3,798
Likes
4,849
Points
280
James Comey

James Comey

JF-Expert Member
Joined May 14, 2017
3,798 4,849 280
Nimesoma kisa chako ktk nyuzi zako za awali. Niseme kwanza pole sana kwa yaliyokukuta, hapo hakuna njia nzuri zaidi ya kusulihisha how? Tumia busara na maarifa mengi ya wazazi na wazee wa kanisa ilipofungwa ndoa. Nenda kwa wazazi wake eleza from A to Z kila kitu na ukubali kuomba msmaha mbele ya kila mtu kwa kosa la kumkosea yaani kutosikiliza ushauri wake wa wewe kutokubali kuacha kazi kwa wakati ule.
Why nasema hivi?
Bado unampenda sana na hutakaa umsahau in a near future...it will take most of your energy to forget him kitu ambacho kitakufanya kufanya makosa kadha wa kadha ktk mahusiano yako mapya na yatakukost badly.

Nimekupenda Bure you are one in a million, siyo kwa sababu ya matatizo yako no, ni kwa sababu ya msimamo wako wa kile unachokiamini kuhusu ndoa yako I wish mumeo akurudie very soon.

Nb

Kungekuwa na watu wanaofahamika na kuheshimika na ambao wanawito wa huduma ya mahusiano humu ndani wangekuwa wanafanya hii huduma ya mahusiano kwa members humu. Kwa mfano watoa huduma wangekuwa na access hata ya kukutana na huyo mumeo kwa muda wao na kujaribu kusulihisha....ila shida itakuja ktk identity na wengine wanaweza ku take advantage hapohapo hahaha

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Translator

Translator

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2017
Messages
213
Likes
177
Points
60
Translator

Translator

JF-Expert Member
Joined May 19, 2017
213 177 60
Prof Lady swali lako ni la kidini au la kisaikolojia?
 
masandare

masandare

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2014
Messages
484
Likes
87
Points
45
masandare

masandare

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2014
484 87 45
M

Mwana Mnyonge

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2011
Messages
370
Likes
100
Points
60
Age
34
M

Mwana Mnyonge

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2011
370 100 60
Habari za siku nyingi wana jf naamini mu wazima wa afya

Wale ambao mlipitia uzi wangu kuhusu misukosuko ya ndoa nimerudi tena

Mimi bado nipo single mume wangu anaishi maisha yake na mimi maisha yangu, nimemwambia anipe talaka ili nijue kuwa kisheria sipo naye.

Mimi bado mdogo kiumri je kwa sababu nilishAfungA ndoa ya kanisani naweza kuolewa tena?

Kipi bora kuishi hivi hivi milele (n
Japo ni ngumu kidogo) au kuolewa
#Ushauri wenu pls pamoja na experience
Najua hapa ni home of great thinker naweza kupata ushauri mzuri

Pili naombeni ushauri nifanyeje nipate amani yani nikubaliane na matokeo kuwa nipo pekeangu, sina amani 24/7 najaribu kila njia ya kusahau siwezi, kama uliwahi kupitia wakati huu ulivukaje?Sent using Jamii Forums mobile app
Pole Sana dada but sio mbaya ukijipa muda kwanza kabla haujamua kuolewa, si vizur kuolewa kwa kipindi hiki au kutamani kuolewa tena jipe muda inawezekana mumeo akabadirika na ndoa yako ikarudi tena.

Muda nao ni tiba nzur,jipe muda utafakari kama unaweza kuolewa au la.
Talaka hua inapatikana Kwa utaratibu but taraka ya kanisani inachukua muda kuipata.

Karibu PM kwa ushauri zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bitrus

Bitrus

Member
Joined
Jan 8, 2019
Messages
14
Likes
7
Points
5
Bitrus

Bitrus

Member
Joined Jan 8, 2019
14 7 5
Hapo pagumu... kwanini msikae na kutafuta suluhisho la matatizo yenu na mumeo? Kwa ndoa za kikristo, kuachana sijui naonaje... Ila yote inarudi kwenye amani ya moyo, kama unaona hilo ndo litakupa amani basi dai talaka ila utaomba talaka kwa wangapi? una uhakika gani huyo utakaempata baadae ndo hamtakwaruzana?
 
mzamifu

mzamifu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2010
Messages
4,098
Likes
1,261
Points
280
mzamifu

mzamifu

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2010
4,098 1,261 280
Habari za siku nyingi wana jf naamini mu wazima wa afya

Wale ambao mlipitia uzi wangu kuhusu misukosuko ya ndoa nimerudi tena

Mimi bado nipo single mume wangu anaishi maisha yake na mimi maisha yangu, nimemwambia anipe talaka ili nijue kuwa kisheria sipo naye.

Mimi bado mdogo kiumri je kwa sababu nilishAfungA ndoa ya kanisani naweza kuolewa tena?

Kipi bora kuishi hivi hivi milele (n
Japo ni ngumu kidogo) au kuolewa
#Ushauri wenu pls pamoja na experience
Najua hapa ni home of great thinker naweza kupata ushauri mzuri

Pili naombeni ushauri nifanyeje nipate amani yani nikubaliane na matokeo kuwa nipo pekeangu, sina amani 24/7 najaribu kila njia ya kusahau siwezi, kama uliwahi kupitia wakati huu ulivukaje?Sent using Jamii Forums mobile app
Swali hili halikufaa uulize sasa ni mapema mno. Au ungeliweka kivingine mfano "nifanyeje..." na sio masuala ya kuolewa tena huenda malaika wa Mungu akakushukia kukupa muongozo
 
James Comey

James Comey

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2017
Messages
3,798
Likes
4,849
Points
280
James Comey

James Comey

JF-Expert Member
Joined May 14, 2017
3,798 4,849 280
Kuna exception ktk ndoa za kikristo ila lakini wewe umeshipita. Kimsingi huo bado huyo ni mumeo na hakuna njia nyingine ya kuolewa tena mpaka afe.
Kuna memba hapo juu amesema anaushauri hawezi kukupa hapa jukwaani unaweza ukawa ni kumtoa uhai huyo jamaa...which is purely satanical ( kama ndiyo ushauri wake na usikubali kwa njia yoyote).

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Huntsman

Huntsman

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Messages
642
Likes
319
Points
80
Huntsman

Huntsman

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2012
642 319 80
Hivi bado mpaka leo hii watu wanaamini these blah blah za sijui wakorintho sijui warumi sijui whatever the fvck?

Kitu kaandika binadamu dhaifu kama wewe na mimi then unachukulia ni unquestionable whole truth,can this make sense whatsoever?
Unategemea tubishane?? No. The bible is for the Believer. If you don' believe the word of God don't bother. Just sail on. There is no time for arguing
 
Huntsman

Huntsman

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Messages
642
Likes
319
Points
80
Huntsman

Huntsman

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2012
642 319 80
Hebu niambie...

Wewe mamlaka ya kusema utafsiri wa wengine sio sahihi wako wewe ndio sahihi umeutoa wapi hasa?

Kuna special connection wewe na mungu hua anakuambiaga ambavyo kwako wewe ni sahihi na wanadamu wengine wanavyosema sio sahihi?

Haya mamlaka ya kujipa authenticity zaidi ya wengine sijui umeyapatia sehemu gani hasa?
Naona unataka uonekane superior. If you don't know me I am the Son of God. And yes I do what my father shows me.
 
Wyatt Mathewson

Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2017
Messages
3,567
Likes
5,575
Points
280
Wyatt Mathewson

Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2017
3,567 5,575 280
Naona unataka uonekane superior. If you don't know me I am the Son of God. And yes I do what my father shows me.
Superior to who mzee?

Ushageuka mtu wa kusingizia watu vitu visivyokua na udhibitisho eee?

Son of God kakwambia lini na kakuzaa lini?

Kakutuma baada ya kukutana nae na yeye kukuachia maagizo ya kukutuma kufanya nini na kwa nani hasa?

Naona hizi religious doctrines zinawafanya mnakua machizi kabisa!

Mnapoteza reasoning!

Au ni vitu unafikiria kwenye ubongo wako kama video ukaona libaba la kizungu lenye ndevu nyeupe likakwambia "nakutuma"?

Kama ni hivyo mzee ulikua unaota!

Stop being delusional!

Sometimes ujifunze ku-separate reality from fiction!
 
Wyatt Mathewson

Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2017
Messages
3,567
Likes
5,575
Points
280
Wyatt Mathewson

Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2017
3,567 5,575 280
Unategemea tubishane?? No. The bible is for the Believer. If you don' believe the word of God don't bother. Just sail on. There is no time for arguing

Wewe nani kakwambia kitabu cha biblia ndio cha ukweli na kina kweli yote?

Wewe umekijulia wapi?

Ulijikuta umezaliwa,and it happened your parents are christians wana biblia nyumbani kwao then wewe ukaiona na kuisoma!

Ungezaliwa China ungekaa uijue?

Na unaelewa hatuchagui tunapozaliwa?

Kwahiyo raia wote wa China,India,Vietnam,etc waliozaliwa kwenye dini za Budhism ni pumbavu na wanaenda motoni?

Wewe ni Mpumbavu kama mimi na huyo mungu wako wa kikristo!
 
shalomu8

shalomu8

Member
Joined
Jan 3, 2019
Messages
17
Likes
0
Points
3
shalomu8

shalomu8

Member
Joined Jan 3, 2019
17 0 3
Wewe nani kakwambia kitabu cha biblia ndio cha ukweli na kina kweli yote?

Wewe umekijulia wapi?

Ulijikuta umezaliwa,and it happened your parents are christians wana biblia nyumbani kwao then wewe ukaiona na kuisoma!

Ungezaliwa China ungekaa uijue?

Na unaelewa hatuchagui tunapozaliwa?

Kwahiyo raia wote wa China,India,Vietnam,etc waliozaliwa kwenye dini za Budhism ni pumbavu na wanaenda motoni?

Wewe ni Mpumbavu kama mimi na huyo mungu wako wa kikristo!
pole pole Jamani
mnaelekea kusiko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huntsman

Huntsman

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Messages
642
Likes
319
Points
80
Huntsman

Huntsman

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2012
642 319 80
Superior to who mzee?

Ushageuka mtu wa kusingizia watu vitu visivyokua na udhibitisho eee?

Son of God kakwambia lini na kakuzaa lini?

Kakutuma baada ya kukutana nae na yeye kukuachia maagizo ya kukutuma kufanya nini na kwa nani hasa?

Naona hizi religious doctrines zinawafanya mnakua machizi kabisa!

Mnapoteza reasoning!

Au ni vitu unafikiria kwenye ubongo wako kama video ukaona libaba la kizungu lenye ndevu nyeupe likakwambia "nakutuma"?

Kama ni hivyo mzee ulikua unaota!

Stop being delusional!

Sometimes ujifunze ku-separate reality from fiction!
This is my personal relationship with my father. Why bother?? Na wewe si una baba yako nani kakubishia kuwa huyo sio baba yako? It is not a thing to prove to you it is between me and my Father.
 
Huntsman

Huntsman

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Messages
642
Likes
319
Points
80
Huntsman

Huntsman

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2012
642 319 80
Wewe nani kakwambia kitabu cha biblia ndio cha ukweli na kina kweli yote?

Wewe umekijulia wapi?

Ulijikuta umezaliwa,and it happened your parents are christians wana biblia nyumbani kwao then wewe ukaiona na kuisoma!

Ungezaliwa China ungekaa uijue?

Na unaelewa hatuchagui tunapozaliwa?

Kwahiyo raia wote wa China,India,Vietnam,etc waliozaliwa kwenye dini za Budhism ni pumbavu na wanaenda motoni?

Wewe ni Mpumbavu kama mimi na huyo mungu wako wa kikristo!
Brother you not doing nothing new. It was done by your fathers back there when they killed God's people on earth.
The bible is written for believers only. If you don't believe it don't hinder who believes it let him/her alone. Why bother??

Hata kama ningezaliwa China au Iraq I could still be a Christian because it was ordained for me before the world was ever created.
I existed before anything that was there that is why I cannot die. Kuzaliwa kokote hakuwezi kubadili kile nilicho. I was the Son of God before the world was ever created even your words can not change the truth.

So my brother. Don't bother if you don't believe the Bible just keep on with your life and let me believe it because it was written for me.
 
Wyatt Mathewson

Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2017
Messages
3,567
Likes
5,575
Points
280
Wyatt Mathewson

Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2017
3,567 5,575 280
Brother you not doing nothing new. It was done by your father back there when they killed God's people on earth.
The bible is written for believers only. If you don't believe it don't hinder who believes it let him/her alone. Why bother??

Hata kama ningezaliwa China au Iraq I could still be a Christian because it was ordained for me before the world was ever created.
I existed before anything that was there that is why I cannot die. Kuzaliwa kokote hakuwezi kubadili kile nilicho. I was the Son of God before the world was ever created even your words can not change the truth.

So my brother. Don't bother if you don't believe the Bible just keep on with your life and let me believe it because it was written for me.

Hebu logically ingetokea vipi na umezaliwa Himalayas huko hakuna mkristu wa aina yoyote na huna elimu au kipato cha kutoka huko kuufata huo ukristo?

Hebu niambie logistics za kuupata huo ukristu ungepaa na ungo au nini hasa?

Maana naona dini ishakutoa ufahamu kabisa wa earth reality!

Stori zako za kua uliongea na mungu sijui nini na nini ni za kipumbavu maana hazina udhibitisho wowote!
 
Huntsman

Huntsman

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Messages
642
Likes
319
Points
80
Huntsman

Huntsman

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2012
642 319 80
Hebu logically ingetokea vipi na umezaliwa Himalayas huko hakuna mkristu wa aina yoyote na huna elimu au kipato cha kutoka huko kuufata huo ukristo?

Hebu niambie logistics za kuupata huo ukristu ungepaa na ungo au nini hasa?

Maana naona dini ishakutoa ufahamu kabisa wa earth reality!

Stori zako za kua uliongea na mungu sijui nini na nini ni za kipumbavu maana hazina udhibitisho wowote!
Hapo ndipo tunapishana. Wewe unategemea logic kuishi mimi sitegemei Logic. Mungu hawezi kuniweka huko ashindwe kunihudumia. Could you imagine logically how Abraham god a Child at the age of 100 and his wife at the age of 90??
Could you Imagine how logically was it possible for Noah to prepare an ark for the rain that was never rained at all???
Ingewezekanaje LOGICALLY???
GOD is beyond Logic. I don't live by Logic I live by Faith. That is how I communicate to my father.
Kwa hiyo we are existing in different realms
 
Forum statistics

Threads 1,250,502
Members 481,371
Posts 29,735,841