Je, naweza kuolewa tena?


snowhite

snowhite

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Messages
15,511
Likes
4,809
Points
280
snowhite

snowhite

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2012
15,511 4,809 280
Afadhali aiseeeee! The greatest love is learning to love yourself.... Marehemu alijiimbia. Ukipenda na pombe Kidogo basi Aagghh no stress

Sent using Jamii Forums mobile app
Na ka nyama choma plus kitabu cha kusoma huku kamziki kwa mbali!
aaaaaah DUNIA TRAAAAAM HIII BANA!
Shubiri tunaipaka wenyewe!
 
snowhite

snowhite

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Messages
15,511
Likes
4,809
Points
280
snowhite

snowhite

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2012
15,511 4,809 280
Yani weeee kiatu kinibane mimi af we uniambie namna ya kupaka Vaseline, kisa we ulipakamo parachute!
KUDAAADECK!
sitakiiiiiii!
baski na parachute methods zako!mi nikikubaliana na Mungu wangu inanitosha sana!
 
B

benluv

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2016
Messages
319
Likes
215
Points
60
B

benluv

JF-Expert Member
Joined Feb 13, 2016
319 215 60
vumilia tu mdogo wangu,huyo akichoka huko aliko atarudi...ameenda kozi isiyojulikana ila atamaliza na kurudi tena kwako
 
Man Mvua

Man Mvua

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2016
Messages
1,155
Likes
1,231
Points
280
Man Mvua

Man Mvua

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2016
1,155 1,231 280
Hii inaniuma sana sana, kila nikifikiria nasikia hukumu mno, nawaza itakuwaje

Kuna maswali yanakuja kichwani nakosa majibu

1.Je miaka yote hadi nazeeka nitaweza kuishi bila kumkosea Mungu?

2.Je nikifunga ndoa au kuishi na mtu Mungu anaitambua hiyo ndoa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sema hakuna kitu kibaya kama kiapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Messages
6,532
Likes
591
Points
280
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2012
6,532 591 280
Mara ya kwanza wakati unaolewa hukutuuuliza, sasas iweje leo? Pambana na hali ya ndoa yako usitafute shahidi siku ya hukumu ya mungu ambayo haina makosa
 
orturoo

orturoo

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2017
Messages
348
Likes
314
Points
80
Age
29
orturoo

orturoo

JF-Expert Member
Joined Mar 13, 2017
348 314 80
Get yourself busy with things you like and enjoy to do.... don’t ask me what things..... think for yourself.

Get busy with your kid, set your retirement plan from now and st goals to achieve them.

There’s a lot to do when you are single.... only that do it for yourself and kid and not to show public that you are not lonely or you are able to live in your own.

‘Member, life is a game, play it well and earn bonus life.

Kasie Matata.
are you single?
 
orturoo

orturoo

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2017
Messages
348
Likes
314
Points
80
Age
29
orturoo

orturoo

JF-Expert Member
Joined Mar 13, 2017
348 314 80
Habari za siku nyingi wana jf naamini mu wazima wa afya

Wale ambao mlipitia uzi wangu kuhusu misukosuko ya ndoa nimerudi tena

Mimi bado nipo single mume wangu anaishi maisha yake na mimi maisha yangu, nimemwambia anipe talaka ili nijue kuwa kisheria sipo naye.

Mimi bado mdogo kiumri je kwa sababu nilishAfungA ndoa ya kanisani naweza kuolewa tena?

Kipi bora kuishi hivi hivi milele (n
Japo ni ngumu kidogo) au kuolewa
#Ushauri wenu pls pamoja na experience
Najua hapa ni home of great thinker naweza kupata ushauri mzuri

Pili naombeni ushauri nifanyeje nipate amani yani nikubaliane na matokeo kuwa nipo pekeangu, sina amani 24/7 najaribu kila njia ya kusahau siwezi, kama uliwahi kupitia wakati huu ulivukaje?Sent using Jamii Forums mobile app
olewa tuu mdada mana utigiza matendo ya ndoa na itakugarimu,heri shari kamili kuliko nusu shari,,,mark my words
 
noiselessly hunter

noiselessly hunter

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2013
Messages
2,257
Likes
1,616
Points
280
noiselessly hunter

noiselessly hunter

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2013
2,257 1,616 280
Unajua nyie waumini wa kanisa hua mnanishangaza sana na kikompliketi laifu,kama unataka talaka mfuate jamaa ukiwa na shahidi akuandikie uchukue talaka yako,uendelee na maisha.
Matatizo ya ndoa unayaona wewe,talaka ufuate mahakamani,ujinga huo,mmetengenezewa mifumo ya ajabu na wazungu mnakubali tu.
Ungekua muslim mambo kwisha.
 
K

Koriee

Member
Joined
Dec 4, 2018
Messages
33
Likes
22
Points
15
K

Koriee

Member
Joined Dec 4, 2018
33 22 15
Huyu dada nadhani hataki kufanya uzinzi ndio maana amekuja kuuliza kama ni halali kuolewa tena

Sent using Jamii Forums mobile app
Na Mimi namuona hivyo! Si mhuni na anahofu ya Mungu! Anajua kabisaa kuzini ni dhambi ndiyo sababu anataka ndoa nyingine. Muombe Mungu atakupa wa kuachana nae sababu anajua matatizo yako!!
 
FUTURE HUNTER

FUTURE HUNTER

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2018
Messages
859
Likes
845
Points
180
FUTURE HUNTER

FUTURE HUNTER

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2018
859 845 180
Hii inaniuma sana sana, kila nikifikiria nasikia hukumu mno, nawaza itakuwaje

Kuna maswali yanakuja kichwani nakosa majibu

1.Je miaka yote hadi nazeeka nitaweza kuishi bila kumkosea Mungu?

2.Je nikifunga ndoa au kuishi na mtu Mungu anaitambua hiyo ndoa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Asikudanganye mtu dada.Mimi naamini Mungu hawezi kuwa katili namna hyo kwa viumbe wake.Cha msingi fatilia mchakato wa talaka ukishakamilika find your man who suits you.Maisha yaendelee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heron

Heron

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2013
Messages
912
Likes
544
Points
180
Heron

Heron

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2013
912 544 180
swali lako kwa Dada ni kama unamshangaa kwanini aolewe tena.
swali langu kwako.
Je unataka aendelee kuzini?
Je wewe unaishi single na huzini?
Hakupata mtu sahihi na hiyo haimaanishi hakuna watu sahihi.
Anaweza kuolewa tena na akayasahau yote.
 
Heron

Heron

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2013
Messages
912
Likes
544
Points
180
Heron

Heron

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2013
912 544 180
Habari za siku nyingi wana jf naamini mu wazima wa afya

Wale ambao mlipitia uzi wangu kuhusu misukosuko ya ndoa nimerudi tena

Mimi bado nipo single mume wangu anaishi maisha yake na mimi maisha yangu, nimemwambia anipe talaka ili nijue kuwa kisheria sipo naye.

Mimi bado mdogo kiumri je kwa sababu nilishAfungA ndoa ya kanisani naweza kuolewa tena?

Kipi bora kuishi hivi hivi milele (n
Japo ni ngumu kidogo) au kuolewa
#Ushauri wenu pls pamoja na experience
Najua hapa ni home of great thinker naweza kupata ushauri mzuri

Pili naombeni ushauri nifanyeje nipate amani yani nikubaliane na matokeo kuwa nipo pekeangu, sina amani 24/7 najaribu kila njia ya kusahau siwezi, kama uliwahi kupitia wakati huu ulivukaje?Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana nilitaman nishauri ila Mimi ni Muslim,kwa hiyo sijui mifumo yenu,ila kwa Muslim hilo ji jepesi mno,
kama kakataa kutoa talaka unaenda kwa viongozi wanamuita na kumtaka akupe muda huo huo.
kisha kila mtu anachukua hamsin zake
 
stephot

stephot

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Messages
6,825
Likes
4,650
Points
280
stephot

stephot

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2012
6,825 4,650 280
Hii ni njia sahihi ila itakubalika iwapo wamekaa sio chini ya miaka 3 bila ya kuwa pamoja kama mke na mume...
Anzisha mchakato wa talaka ambao unaanzia ofisi za ustawi wa jamii zipo kila wilaya unayoishi baada ya hapo unaenda Mahakamani kupata divorce na haki zako zingine. Ila mkiweza kukubaliana na mume wako unaweza mkaenda mahakamani kusajili makubaliano yenu na kupata divorce. Baada ya hapo utakuwa huru kuolewa kisheria bila pingamizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wyatt Mathewson

Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2017
Messages
3,567
Likes
5,572
Points
280
Wyatt Mathewson

Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2017
3,567 5,572 280
God hold you responsible to your vow. Unaweza kushauriwa na watu hata wachungaji baadhi kuwa it's okay. But It is Never Okay. God ordained a marriage of one wife and husband and the vow is till dearth do us part. I don't care the situation. God's word is true and shall remain true.

Warumi 7:2-3
[2]Kwa maana mwanamke aliye na mume amefungwa na sheria kwa yule mume wakati anapokuwa yu hai; bali akifa yule mume, amefunguliwa ile sheria ya mume.
[3]Basi wakati awapo hai mumewe, kama akiwa na mume mwingine huitwa mzinzi. Ila mumewe akifa, amekuwa huru, hafungwi na sheria hiyo, hata yeye si mzinzi, ajapoolewa na mume mwingine.

Na nyingine hii

1 Wakorintho 7:10-11
[10]Lakini wale waliokwisha kuoana nawaagiza; wala hapo si mimi, ila Bwana; mke asiachane na mumewe;
[11]lakini, ikiwa ameachana naye, na akae asiolewe, au apatane na mumewe; tena mume asimwache mkewe.

If you take God at his word He will honor it for God cannot lie
Hivi bado mpaka leo hii watu wanaamini these blah blah za sijui wakorintho sijui warumi sijui whatever the fvck?

Kitu kaandika binadamu dhaifu kama wewe na mimi then unachukulia ni unquestionable whole truth,can this make sense whatsoever?
 
Wyatt Mathewson

Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2017
Messages
3,567
Likes
5,572
Points
280
Wyatt Mathewson

Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2017
3,567 5,572 280
Neno la Mungu halina shida isipokuwa wasioliamini hulipindisha na kuweka tafsiri zao lakini amesema mwenyewe hapa

Mithali 30:5-6
[5]Kila neno la Mungu limehakikishwa;
Yeye ni ngao yao wamwaminio.
[6]Usiongeze neno katika maneno yake;
Asije akakulaumu, ukaonekana u mwongo.

Ukijifanya unalitafsiri sijui linamaanisha hiki au kile ni Kosa mbele za Mungu. Aliposema Bikira atachukua Mimba maana yake ilikuwa Bikira kuchukua Mimba. Ila watu walijaribu kulitafsiri vinginevyo lakini yeye alikuja kulitimiza kwa wakati wake.

I challenge anyone to take God at His word and see if it ever fails.

Hebu niambie...

Wewe mamlaka ya kusema utafsiri wa wengine sio sahihi wako wewe ndio sahihi umeutoa wapi hasa?

Kuna special connection wewe na mungu hua anakuambiaga ambavyo kwako wewe ni sahihi na wanadamu wengine wanavyosema sio sahihi?

Haya mamlaka ya kujipa authenticity zaidi ya wengine sijui umeyapatia sehemu gani hasa?
 

Forum statistics

Threads 1,250,497
Members 481,367
Posts 29,735,645