Je, naweza kuolewa tena?

Extra miles

Extra miles

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2018
Messages
406
Likes
209
Points
60
Extra miles

Extra miles

JF-Expert Member
Joined Apr 18, 2018
406 209 60
God hold you responsible to your vow. Unaweza kushauriwa na watu hata wachungaji baadhi kuwa it's okay. But It is Never Okay. God ordained a marriage of one wife and husband and the vow is till dearth do us part. I don't care the situation. God's word is true and shall remain true.

Warumi 7:2-3
[2]Kwa maana mwanamke aliye na mume amefungwa na sheria kwa yule mume wakati anapokuwa yu hai; bali akifa yule mume, amefunguliwa ile sheria ya mume.
[3]Basi wakati awapo hai mumewe, kama akiwa na mume mwingine huitwa mzinzi. Ila mumewe akifa, amekuwa huru, hafungwi na sheria hiyo, hata yeye si mzinzi, ajapoolewa na mume mwingine.

Na nyingine hii

1 Wakorintho 7:10-11
[10]Lakini wale waliokwisha kuoana nawaagiza; wala hapo si mimi, ila Bwana; mke asiachane na mumewe;
[11]lakini, ikiwa ameachana naye, na akae asiolewe, au apatane na mumewe; tena mume asimwache mkewe.

If you take God at his word He will honor it for God cannot lie
Kweli aisee
 
snowhite

snowhite

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Messages
15,511
Likes
4,809
Points
280
snowhite

snowhite

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2012
15,511 4,809 280
siyo sana, Njaribu kuwaza tu hatma ya maisha yangu itakuwajeSent using Jamii Forums mobile app
NDOA NDIO KILELE CHA MAISHA YAKO?
as in HUNA NDOTO ZINGINE ZA MAISHA?
to me, kama ndoa ya kwanza imeshindikana, siamini sana katika kupanda altareni kwa mara nyingine!

Unajua tunaoa na kuolewa tukiwa na a lot of ASSUMPTIONS!
sasa umeshapata realities!ambazo kismingi zipo tu kwenye kila mahusiano!
mi ningetafuta ambition zingine kasha ukawa unadate tu!

INAWEZEKANA!
NDOA NI KITU CHEMA MNO! SANA!KITAMU KWELI KWELI!
only ,IF! ONLY IF!
UPO SALAMA KIHISIA,KIROHO,KIMWILI,KIJAMII NA KIMAENDELEO BINAFSI NA YA FAMILIA!
short of that endelea kukutana nao hotelini aisee!
 
snowhite

snowhite

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Messages
15,511
Likes
4,809
Points
280
snowhite

snowhite

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2012
15,511 4,809 280
Thankiu, HILI NDO LA KWELI NA HAKUNA SIKU LITAPINGIKa
Kama ungekuwa umepitia situation kama yangu ungefanyaje

Sent using Jamii Forums mobile app
una hisia tegemezi sana!
Ondoka kwenye huo utegemezi wa maamuzi!
Unatakiwa kujua unachotaka kwenye maisha bila kujali second opinions!

IWAPO NI NDOA NDIYO INAKUPA AMANI, RUDI KATENGENEZE NA MUMEO!
hawanaga hata tofauti hawa, huyo ulomuacha na huyo unayeamini atakuja na nchi ya maziwa na asali wote ni wale wale!
IWAPO NI KINYUME NA HIVYO, tizama mambo uliyotamani kufanya ukiwa binti , elekeza mawazo yako huko. UTAJIKUTA UNAPATA TU MTU WA KUSOGEZA NAE WAKATI LIFE LINASONGA!
 
P

pilau

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Messages
1,558
Likes
46
Points
145
P

pilau

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2012
1,558 46 145
Umeshasema kuwa wewe uliifungia ndoa kanisani. Kasome tena kile cheti ulichopewa na Paroko au mchungaji. Kisome taratiib halafu ujikumbushe yale maneno uliyoyasema kwa sauti ya mvuuto kuwa utakuwa naye tu na wengine wote kuwaepuka. Hadi kifo kiwa.... Halafu njoo uliza swali lako.
Mwisho mkaonywa; Alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe. Kama ulidhani ati ni masihara nakuambia sivyo. Usiolewe tena wala usigawe kitu chako hicho pembeni na mummeo.
.... Hahaha tusidanganyane kama ndoa ni ya matatizo yasiyoisha, ndoa ya mume au make mkorofi na nyumba ni ya moto, hapakaliki hapalaliki ... Kipigo hakiishi, umalaya wa mke/ mume , na mambo mengine yenye husuda na ndoa kuwa zaidi ya nyumba ya mateso zaidi ya hela nduguzanguni ndoa hiyo ni ya kuachana Nayo haijalishi ndani kasema na nini kimeandikwa ..... Ngeu, kukosa meno .... Ondokelea mbali
 
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2008
Messages
29,915
Likes
15,385
Points
280
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2008
29,915 15,385 280
Duh umeandika kwa msisitizo saaana aiseeeee
una hisia tegemezi sana!
Ondoka kwenye huo utegemezi wa maamuzi!
Unatakiwa kujua unachotaka kwenye maisha bila kujali second opinions!

IWAPO NI NDOA NDIYO INAKUPA AMANI, RUDI KATENGENEZE NA MUMEO!
hawanaga hata tofauti hawa, huyo ulomuacha na huyo unayeamini atakuja na nchi ya maziwa na asali wote ni wale wale!
IWAPO NI KINYUME NA HIVYO, tizama mambo uliyotamani kufanya ukiwa binti , elekeza mawazo yako huko. UTAJIKUTA UNAPATA TU MTU WA KUSOGEZA NAE WAKATI LIFE LINASONGA!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
26,813
Likes
16,989
Points
280
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
26,813 16,989 280
NDOA NDIO KILELE CHA MAISHA YAKO?
as in HUNA NDOTO ZINGINE ZA MAISHA?
to me, kama ndoa ya kwanza imeshindikana, siamini sana katika kupanda altareni kwa mara nyingine!

Unajua tunaoa na kuolewa tukiwa na a lot of ASSUMPTIONS!
sasa umeshapata realities!ambazo kismingi zipo tu kwenye kila mahusiano!
mi ningetafuta ambition zingine kasha ukawa unadate tu!

INAWEZEKANA!
NDOA NI KITU CHEMA MNO! SANA!KITAMU KWELI KWELI!
only ,IF! ONLY IF!
UPO SALAMA KIHISIA,KIROHO,KIMWILI,KIJAMII NA KIMAENDELEO BINAFSI NA YA FAMILIA!
short of that endelea kukutana nao hotelini aisee!
Huyu dada nadhani hataki kufanya uzinzi ndio maana amekuja kuuliza kama ni halali kuolewa tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
AlP0L0

AlP0L0

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2011
Messages
4,470
Likes
1,658
Points
280
AlP0L0

AlP0L0

JF-Expert Member
Joined Apr 23, 2011
4,470 1,658 280
Ndoa ya Kanisani ni pingu maisha, sio ndoa.
 
Asprin

Asprin

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Messages
57,200
Likes
38,452
Points
280
Asprin

Asprin

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2008
57,200 38,452 280
Hii inaniuma sana sana, kila nikifikiria nasikia hukumu mno, nawaza itakuwaje

Kuna maswali yanakuja kichwani nakosa majibu

1.Je miaka yote hadi nazeeka nitaweza kuishi bila kumkosea Mungu?

2.Je nikifunga ndoa au kuishi na mtu Mungu anaitambua hiyo ndoa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mtu yupo tayari?
 
J putin

J putin

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2018
Messages
1,307
Likes
1,134
Points
280
J putin

J putin

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2018
1,307 1,134 280
Njoo nikupe tulizo la moyo.

Kudai talaka ni haki yako kisheria,nenda mahakamani.

Kwa ushauri zaidi nifuate pm nikipata mda nitakushauri hatua nzuri

Punguza stress maana ni hatari kwa afya yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
snowhite

snowhite

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Messages
15,511
Likes
4,809
Points
280
snowhite

snowhite

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2012
15,511 4,809 280
Hii inaniuma sana sana, kila nikifikiria nasikia hukumu mno, nawaza itakuwaje

Kuna maswali yanakuja kichwani nakosa majibu

1.Je miaka yote hadi nazeeka nitaweza kuishi bila kumkosea Mungu?

2.Je nikifunga ndoa au kuishi na mtu Mungu anaitambua hiyo ndoa?

Sent using Jamii Forums mobile app
dada unaamini ukishafunga ndoa UTAKUWA HUMKOSEI MUNGU?
yani kuolewa kwako ni tiketi ya UTAKATIFU?
dhambi ni uzinzi peke yake?
iwapo hujaolewa au huishi na mume basi wewe si kiumbe chema mbele za MUNGU?
 
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2008
Messages
29,915
Likes
15,385
Points
280
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2008
29,915 15,385 280
ahhhahaha maisha haya bana mi nimeacha siku hizi kutizama MAWAZO YA MWINGINE KWENYE MATUKIO YANAYONIHUSU!
Afadhali aiseeeee! The greatest love is learning to love yourself.... Marehemu alijiimbia. Ukipenda na pombe Kidogo basi Aagghh no stress

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mazojms

mazojms

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2017
Messages
200
Likes
227
Points
60
mazojms

mazojms

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2017
200 227 60
Habari za siku nyingi wana jf naamini mu wazima wa afya

Wale ambao mlipitia uzi wangu kuhusu misukosuko ya ndoa nimerudi tena

Mimi bado nipo single mume wangu anaishi maisha yake na mimi maisha yangu, nimemwambia anipe talaka ili nijue kuwa kisheria sipo naye.

Mimi bado mdogo kiumri je kwa sababu nilishAfungA ndoa ya kanisani naweza kuolewa tena?

Kipi bora kuishi hivi hivi milele (n
Japo ni ngumu kidogo) au kuolewa
#Ushauri wenu pls pamoja na experience
Najua hapa ni home of great thinker naweza kupata ushauri mzuri

Pili naombeni ushauri nifanyeje nipate amani yani nikubaliane na matokeo kuwa nipo pekeangu, sina amani 24/7 najaribu kila njia ya kusahau siwezi, kama uliwahi kupitia wakati huu ulivukaje?Sent using Jamii Forums mobile app
Ndoa ni matokeo ya hisia na makubaliano baina ya watu wawili na sio sheria.. Everyone is not you, you are special na hakuna mtu anayeweza kujua what is best for you zaidi yako mwenyewe.. Nakushauri dont try to make this very personal decission based on others experiences (trust your instincts)..
Mungu anatupenda wote na anapenda sote tuishi kwa furaha, fanya kile kinachokupa amani ya moyo na furaha, m sure even God will understand..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
snowhite

snowhite

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Messages
15,511
Likes
4,809
Points
280
snowhite

snowhite

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2012
15,511 4,809 280
Ndoa ni matokeo ya hisia na makubaliano baina ya watu wawili na sio sheria.. Everyone is not you, you are special na hakuna mtu anayeweza kujua what is best for you zaidi yako mwenyewe.. Nakushauri dont try to make this very personal decission based on others experiences (trust your instincts)..
Mungu anatupenda wote na anapenda sote tuishi kwa furaha, fanya kile kinachokupa amani ya moyo na furaha, m sure even God will understand..

Sent using Jamii Forums mobile app
LOVE U
 
Forum statistics

Threads 1,250,498
Members 481,367
Posts 29,735,680