Je, naweza kuolewa tena?

Prof Lady

Prof Lady

Senior Member
Joined
Aug 10, 2018
Messages
107
Likes
84
Points
45
Prof Lady

Prof Lady

Senior Member
Joined Aug 10, 2018
107 84 45
Habari za siku nyingi wana jf naamini mu wazima wa afya

Wale ambao mlipitia uzi wangu kuhusu misukosuko ya ndoa nimerudi tena

Mimi bado nipo single mume wangu anaishi maisha yake na mimi maisha yangu, nimemwambia anipe talaka ili nijue kuwa kisheria sipo naye.

Mimi bado mdogo kiumri je kwa sababu nilishAfungA ndoa ya kanisani naweza kuolewa tena?

Kipi bora kuishi hivi hivi milele (n
Japo ni ngumu kidogo) au kuolewa
#Ushauri wenu pls pamoja na experience
Najua hapa ni home of great thinker naweza kupata ushauri mzuri

Pili naombeni ushauri nifanyeje nipate amani yani nikubaliane na matokeo kuwa nipo pekeangu, sina amani 24/7 najaribu kila njia ya kusahau siwezi, kama uliwahi kupitia wakati huu ulivukaje?Sent using Jamii Forums mobile app
 
M

mangatara

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2012
Messages
11,980
Likes
8,069
Points
280
M

mangatara

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2012
11,980 8,069 280
Umeshasema kuwa wewe uliifungia ndoa kanisani. Kasome tena kile cheti ulichopewa na Paroko au mchungaji. Kisome taratiib halafu ujikumbushe yale maneno uliyoyasema kwa sauti ya mvuuto kuwa utakuwa naye tu na wengine wote kuwaepuka. Hadi kifo kiwa.... Halafu njoo uliza swali lako.
Mwisho mkaonywa; Alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe. Kama ulidhani ati ni masihara nakuambia sivyo. Usiolewe tena wala usigawe kitu chako hicho pembeni na mummeo.
 
M

mezanane

Senior Member
Joined
Apr 11, 2011
Messages
108
Likes
134
Points
60
M

mezanane

Senior Member
Joined Apr 11, 2011
108 134 60
Anzisha mchakato wa talaka ambao unaanzia ofisi za ustawi wa jamii zipo kila wilaya unayoishi baada ya hapo unaenda Mahakamani kupata divorce na haki zako zingine. Ila mkiweza kukubaliana na mume wako unaweza mkaenda mahakamani kusajili makubaliano yenu na kupata divorce. Baada ya hapo utakuwa huru kuolewa kisheria bila pingamizi.
 
Prof Lady

Prof Lady

Senior Member
Joined
Aug 10, 2018
Messages
107
Likes
84
Points
45
Prof Lady

Prof Lady

Senior Member
Joined Aug 10, 2018
107 84 45
Umeshasema kuwa wewe uliifungia ndoa kanisani. Kasome tena kile cheti ulichopewa na Paroko au mchungaji. Kisome taratiib halafu ujikumbushe yale maneno uliyoyasema kwa sauti ya mvuuto kuwa utakuwa naye tu na wengine wote kuwaepuka. Hadi kifo kiwa.... Halafu njoo uliza swali lako.
Mwisho mkaonywa; Alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe. Kama ulidhani ati ni masihara nakuambia sivyo. Usiolewe tena wala usigawe kitu chako hicho pembeni na mummeo.
Hii inaniuma sana sana, kila nikifikiria nasikia hukumu mno, nawaza itakuwaje

Kuna maswali yanakuja kichwani nakosa majibu

1.Je miaka yote hadi nazeeka nitaweza kuishi bila kumkosea Mungu?

2.Je nikifunga ndoa au kuishi na mtu Mungu anaitambua hiyo ndoa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huntsman

Huntsman

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Messages
642
Likes
319
Points
80
Huntsman

Huntsman

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2012
642 319 80
God hold you responsible to your vow. Unaweza kushauriwa na watu hata wachungaji baadhi kuwa it's okay. But It is Never Okay. God ordained a marriage of one wife and husband and the vow is till dearth do us part. I don't care the situation. God's word is true and shall remain true.

Warumi 7:2-3
[2]Kwa maana mwanamke aliye na mume amefungwa na sheria kwa yule mume wakati anapokuwa yu hai; bali akifa yule mume, amefunguliwa ile sheria ya mume.
[3]Basi wakati awapo hai mumewe, kama akiwa na mume mwingine huitwa mzinzi. Ila mumewe akifa, amekuwa huru, hafungwi na sheria hiyo, hata yeye si mzinzi, ajapoolewa na mume mwingine.

Na nyingine hii

1 Wakorintho 7:10-11
[10]Lakini wale waliokwisha kuoana nawaagiza; wala hapo si mimi, ila Bwana; mke asiachane na mumewe;
[11]lakini, ikiwa ameachana naye, na akae asiolewe, au apatane na mumewe; tena mume asimwache mkewe.

If you take God at his word He will honor it for God cannot lie
 
Dreka

Dreka

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2017
Messages
7,504
Likes
9,141
Points
280
Dreka

Dreka

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2017
7,504 9,141 280
Anzisha mchakato wa talaka ambao unaanzia ofisi za ustawi wa jamii zipo kila wilaya unayoishi baada ya hapo unaenda Mahakamani kupata divorce na haki zako zingine. Ila mkiweza kukubaliana na mume wako unaweza mkaenda mahakamani kusajili makubaliano yenu na kupata divorce. Baada ya hapo utakuwa huru kuolewa kisheria bila pingamizi.
Kiimani ya kikristo hawa bado ni mke na mume
 
TOEDSLOTH

TOEDSLOTH

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2018
Messages
557
Likes
929
Points
180
TOEDSLOTH

TOEDSLOTH

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2018
557 929 180
Habari za siku nyingi wana jf naamini mu wazima wa afya

Wale ambao mlipitia uzi wangu kuhusu misukosuko ya ndoa nimerudi tena

Mimi bado nipo single mume wangu anaishi maisha yake na mimi maisha yangu, nimemwambia anipe talaka ili nijue kuwa kisheria sipo naye.

Mimi bado mdogo kiumri je kwa sababu nilishAfungA ndoa ya kanisani naweza kuolewa tena?

Kipi bora kuishi hivi hivi milele (n
Japo ni ngumu kidogo) au kuolewa
#Ushauri wenu pls pamoja na experience

Sent using Jamii Forums mobile app
If you are ugly you are ugly, stop talking about inner beauty, because we don't walk around With Xray

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Prof Lady

Prof Lady

Senior Member
Joined
Aug 10, 2018
Messages
107
Likes
84
Points
45
Prof Lady

Prof Lady

Senior Member
Joined Aug 10, 2018
107 84 45
God hold you responsible to your vow. Unaweza kushauriwa na watu hata wachungaji baadhi kuwa it's okay. But It is Never Okay. God ordained a marriage of one wife and husband and the vow is till dearth do us part. I don't care the situation. God's word is true and shall remain true.

Warumi 7:2-3
[2]Kwa maana mwanamke aliye na mume amefungwa na sheria kwa yule mume wakati anapokuwa yu hai; bali akifa yule mume, amefunguliwa ile sheria ya mume.
[3]Basi wakati awapo hai mumewe, kama akiwa na mume mwingine huitwa mzinzi. Ila mumewe akifa, amekuwa huru, hafungwi na sheria hiyo, hata yeye si mzinzi, ajapoolewa na mume mwingine.

Na nyingine hii

1 Wakorintho 7:10-11
[10]Lakini wale waliokwisha kuoana nawaagiza; wala hapo si mimi, ila Bwana; mke asiachane na mumewe;
[11]lakini, ikiwa ameachana naye, na akae asiolewe, au apatane na mumewe; tena mume asimwache mkewe.

If you take God at his word He will honor it for God cannot lie
Thankiu, HILI NDO LA KWELI NA HAKUNA SIKU LITAPINGIKa
Kama ungekuwa umepitia situation kama yangu ungefanyaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,250,502
Members 481,371
Posts 29,735,823