Je, naweza kumuweka mtoto wangu wa miezi mitatu kama mwanahisa kwenye kampuni yangu?

Habarini wakuu,

Kuna idea ninayo sasa itanilazimu kuanzisha kampuni, nimepanga kwanza ntaiendesha kama kampuni ndogo na nafikiri ntaanza na kama waajiriwa wawili au watatu.

Ila sasa kuna kitu sijakipata vizur, kwenye memart nilitaka nimuweke mchumba wangu tuwe wawili kama shareholders ila sasa nikafikiria kumuongeza na mtoto wangu lakini yeye bado ni mdogo.

So kwa wale waliowahi kuregister kampuni, naweza nikamuweka hata mtoto wangu mana bado ni mdogo. Ama nibaki tu mimi na mchumba wangu?

Asanteni sana
Waweza kumueka mchumba ili kusisitiza aolewe nawe hatahivyo kati ya hisa 100 mpe chini ya 5 ili asiwe na sauti ndani ya kampuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom