Nimeachwa njiapanda bro naomba ufahamu tafadhalihahahahaha JF is never BORING.
Nadhani tatizo lilianzia hapaHabari zenu wanajukwaa.
Naomba kuuliza swali kwenu.
Je, naweza kumshitaki aliekua mpenzi wangu kwa kosa la kunitapeli kipindi cha mahusiano yetu kwa kitumia uongo kwa lengo la kufanya utapeli huo?
Kwa ambao wanaweza kuchangia naomba ufafanuzi?
Nimeachwa njiapanda bro naomba ufahamu tafadhali
Hakunaga makubaliano ya pesa palipo na mapenzKesi za uhawara kama hizo huwa hazichukuliwi uzito mkubwa, labda kama mmeumizana kwa kuchomeana nyumba ama kwa kuchomana kwa magunia ya mkaa.
Hizo kesi ni sawa na bibi kushitaki wajukuu zake kwa kuingia shambani kuvunja mahindi bila ya kibali chake.
Kwanza unapopeleka malalamiko, ukishaulizwa huyo mtu ni nani yako, ukiishasema tu 'ni mpenzi wangu', utakuta sura za wanaokusikiliza zinabadilika muda huo huo na pressure ya kuchukua hatua inashuka..
Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka imekwenda wapi MamndenyiWapo ila mpaka utembee na wanaume wengi tofauti tofauti ndio unaweza kupata ngekewa ya kukutana na mtu wako mmoja kama mleta mada. Ni kama "jackpot bingo", biko, tatu mzuka, patapata, bahati nasibu ya taifa tu kadiri unavyocheza mara nyingi ndivyo unapoongeza nafasi ya kushinda. Kwa hiyo hakuna cha bahati wala nini wewe jilipue tu kila anayekuja mbele yako twende nina hakika baada ya muda utakuwa na wewe umepata wako kama mleta mada. Vinginevyo njia rahisi mwendee mleta mada DM fasta uchukue nafasi iliyoachwa wazi kwani mleta mada hakusema kama kuna mwingine kashachukua nafasi.
Kwahiyo kapigwa na dada yetu wa hapahapa JF?Nadhani tatizo lilianzia hapa
Natafuta mwanamke wa kuanzisha mahusiano na mwisho wake iwe ndoa
Natafuta mwanamke ambae ambae tutafikia hadi kuoana na kuishi kwa amani Sifa Awe na umri kuanzia 23 hadi 29 Awe muislam Awe na hof na mungu NB: Rangi na kimo sivipi kipaombele. Sio lazima awe anafanya kazi lakini akiwa mchapakazi itanipendeza zaidi Mimi ni Mrefu Mweupe. Nafanya kazi ( ukija...www.jamiiforums.com
Yanatukuta Sana wanaume Kwenye mahusiano.
Unamgharamia mwanamke Sana afu ghafla anakwambia TUACHANE. Na kweli mnaachana.
Na huwez tena kudai urudishiwe vitu ulivomzawadia.