Je, naweza kumfatilia ndugu yangu aliye nje ya nchi akapata cheti cha kuzaliwa

boyson onlye

JF-Expert Member
Sep 13, 2015
1,103
1,382
Habarini wakuu

Kuna ndugu zangu wako nchi mojawapo ya Asia na ameniomba nimfatilie cheti cha kuzaliwa vipi inawezekana au sharia za kupata cheti cha kuzaliwa zipoje
 
Back
Top Bottom