Je, naweza kujiingizia pesa mtandaoni kupitia mchezo wa Drafti?

😂😂😂😂 Duh una dharau knyama yan.
aahaha sina dharau brow

unajua mess alivyokuw tumboni kwa mamake alichagua kucheza mpila vile vile kwa wachezaji kama cr7 na wengine ndicho walicho chagua .
ila mimi nilichagua kucheza draft mkuu

embu fikiria nikiwa na miaka minne tu nikamfunga bingwa wa kijiji had nikapewa cheo cha nabii wa draft
 
Ka
Asante saaana kwa ushauri wako, Mi npo Moro na lengo la kuanzisha uzi huu ni vp naweza kujipatia pesa kwenye Drafti kwa njia ya mtandao, Sio kwamba cjui kuwa huko mjini kuna mabingwa walionizd au nliowazd hapan mara nyingi mkicheza mabingwa ktk michezo 10 sare tupu au ktk michezo 20 unakuta goli 1 izo 19 zilizobak saare tupu.

“Lengo langu ni kubadilisha kpaji changu kuwa Fursa”.
Kacheze kwanza na aladin alaf ndo ulete mrejesho
 
Natafuta hili draft
images.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nampata huyu mwamba coz Mara moja moja huwa anakuja pale Makambako anatunyoosha kisawasawa kweli,pamoja nakujua kuwa yupo kwenye top ten hapa bong,sikuwahi fikiri Kama anaweza ongoza hiyo safu.
 
Habari zenu Wadau. Poleni na mihangaiko ya kila siku ya utafutaji riziki

Nimekuja jamviin kuwaomba ushauri Mimi nina uwezo mkubwa sana wa kucheza mchezo wa Drafti. Lengo langu nataka nibadilishe hiki kipaji changu kuwa fursa.

Je, naweza kujiingizia pesa online kwa kucheza mchezo huu online kama ilivyo kwenye mpira maarufu kama (Kubet).



Typing using left Dole Gumba.
View attachment 1403613


Mkuu jaribu kutumia lugha viuri, ulinichanganya akili uliposema kujiingiza pesa mtandaoni, nilifikiri ni kule makalioni. Umeniondoa stimu kabisa mkuu, mtata sana wewe, unaishi wapi nikualike gahawa na kashata hapa.
 
Asante saaana kwa ushauri wako, Mi npo Moro na lengo la kuanzisha uzi huu ni vp naweza kujipatia pesa kwenye Drafti kwa njia ya mtandao, Sio kwamba cjui kuwa huko mjini kuna mabingwa walionizd au nliowazd hapan mara nyingi mkicheza mabingwa ktk michezo 10 sare tupu au ktk michezo 20 unakuta goli 1 izo 19 zilizobak saare tupu.

“Lengo langu ni kubadilisha kpaji changu kuwa Fursa”.
Kwa Nini msianzishiane kete mbovu au . Kupunguza kete ili afungwe mtu. Mana 12 kwa 12 watu mmekalili copy.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taja copy unazozijua/kuzitumia kuwafunga vibonde wenzio, angalau copy 3 tu ili mm BINGWA ni_prove kwa niaba ya wanajamvi..
Habari zenu wana BUU

Poleni na mihangaiko ya kila siku ya utafutaji riziki



Nmekuja jamvin kuwaomba ushauri Mimi nina uwezo mkubwa sana wa kucheza mchezo wa Drafti. Lengo langu nataka nibadilishe hiki kipaji changu kuwa fursa Je, Naweza kujiingizia pesa online kwa kucheza mchezo huu online kama ilivyo kwenye mpira maarufu kama (Kubet).







Typing using left Dole Gumba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom