Je, Naweza kuhost website yangu kwenye laptop yangu ( hard drive 200GB)? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, Naweza kuhost website yangu kwenye laptop yangu ( hard drive 200GB)?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Rich Dad, Aug 31, 2011.

 1. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #1
  Aug 31, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nimekwenda simba net jamaa wamenipa packages zifuatazo:

  bronze -500mb price: $250 per year
  gold - 1 GB price: $500 per year
  platinum - 2GB: price $900 per year

  nina laptop ambayo ina GB 200, je siwezi kuitumia kama server? nimeshaweka mipango sawa ya kununua Vbulletin software kwa ajili ya discussion forum kama ilivyo JF.
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kuna webhost wengi sana wa bei nafuu na wako relibale. Wewe ukihost mwenyewe itakucoast zaidi kwa bandwidth na kama uko hapa bongo reliability ya site yako itakuwa ndgo. Si unajua mambo ya ngereja. Na hata security. Na hata sijui kama ukihost mwenyewe site yako inaweza kuwa searchable kirahisi.

  cheki paid hosting za hizi kampuni ambazo pia zina free hosting . So unawezza kuanza kuajribu hyo sitte yako kwenye free. Gharama zao hawa ni cheaper kuliko hao simbanet

  Free Hosting, Paid Hosting, Reseller Services & VPS Servers : Byet Internet - hawa wan free na paid hosting
  Free Web Hosting with cPanel, PHP, and no Ads - hawa wana free na premium hosting ya kulipia
  Web Hosting - Shared cPanel Web Hosting - hawa hawana free

  Pia invisible aliwai kuandika kuwa pia wao wanatoa huduma za ku host website . wasiliana naye akupe terms uone kama zinalipa
   
 3. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #3
  Aug 31, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nashukuru sana mkuu, nitamcheck invisible anipe maelekezo.
   
 4. Researcher

  Researcher Senior Member

  #4
  Aug 31, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 187
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hiyo internet unayounganisha laptop yako inapaswa kusapoti web server. Mfano public IP address na bandwidth ni muhimu. Hizo 500 Mb ni downloadable amout of data (may be kwa mwezi?) still haijasema at what speed. NIC speed ya laptop yako sidhani kama italingana na ile ya servers. Vilevile kama utahitaji server iwe online 24/7 sidhani kama laptop itahimili mshindo huo.

  Jambo la msingi ni kuwasiliana na wale reseler wa hosting packages (siku hizi ni wengi) watakurahisishia maisha. pengine uanze na invisible kama alivyopendekeza mdau hapo juu..
   
 5. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #5
  Sep 1, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,122
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Tatizo sio space tatizo ni bandwidth i.e kupata bandwidth nzuri itabidi ununue business grade internet connection ambayo itakukost mara nyingi zaidi ya hizo bei za simba plus uptime ya hiyo laptop yako i.e kila utakapozima laptop website nayo itayeyuka. La mwisho ni I.P itabidi upate static public I.P au utumie njia nyingine za kukwepa tatizo hilo.

  Ushauri wangu ni ulipie VPS au dedicated server kama forum yako itahitaji kusupport watu zaidi ya wawili watatu, shared hosting hazitakufaa pamoja na kwamba unaweza kupata "Unlimited" space na bandwidth utagongana na CPU limit haraka sana.
  Cheki:
  Dedicated Servers Hosting, Web Hosting and Server Colocation from iWeb
  Web Hosting Services, Reseller Hosting, VPS Hosting, and Dedicated Servers by HostGator
  DreamHost

  Kama hauna experience ya kuset up VPS/dedicated unaweza ukatafuta host ambaye atamanage vBulletin mwenyewe.
  vBulletin Forum Hosting, WordPress Hosting, phpBB, Unix, IPB, PHP5, Managed Forum Hosting, Web Hosting
   
 6. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #6
  Sep 1, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kang atalipaje VPS wakati hajaobserve japo kwa mizei mtatu traffic ya website yake itakuwaje. Au ana pesa za kuchezea? Hata kama ni watu 20 au 50 wanatemeblea site kwa siku bado shared hosting na pemium hosting zinaafaa kwa kuanzia . yaaaani kuazisha tu site aingie kwenye mkataba wa VPS !!!!! kabla hujaona analytics ya site sio sahihi.

  May be kama hiyo site inahusiana forum za video, movie. Audio etc . lakini kama ni forum ambayo traffic kubwa ni Text Still he can achive the same with minimum cost kwa shared.

  Vile vile kumbuka package nyingi zinaruhusu ku upgrade na sio ku downgrade. So Mi namshauri aaanze na avarage package. atathimini perfomenace na trafic then ndo afanye maamuzi mengineyo
   
 7. Window

  Window Member

  #7
  Sep 1, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unaweza ila tu kama upo ready na gharama zinazohusika
   
 8. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #8
  Sep 1, 2011
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,812
  Likes Received: 2,584
  Trophy Points: 280
  Google "begginers guide website hosting from home pc". A very good 7 page article on webhosting from a home pc with broadband connection. Also deals with dynamic ip problem and to solve it..
   
 9. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #9
  Sep 1, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,122
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Ni sawa unavyosema ndo maana nikasema kama anataka kusupport zaidi ya watu wawili watatu, 50- elfu kadhaa kwa siku haitakuwa tatizo tatizo linakuja user wakiwa simultaneously kwenye site, vBulletin ni nzito na site itaanguka. Kama ameshaamua kuinvest kwenye vBulletin nadhani anategemea visitors wa kutosha, site ikianza kuanguka utawapoteza users haraka sana na upgrade process is not always straight forward inaweza kupelekea downtime. Hizi VPS ni monthly sa hakuna contract ya muda mrefu.
   
 10. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #10
  Sep 2, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  hi mkuu, ni pm nikupe maujanja ya kuhost vbulletin sites!
   
Loading...