Je, Naweza kuhama chuo nilichopangiwa kabla havijafungua?

GENERARY

Member
Aug 31, 2012
95
17
Naomba mnisaidie kama naweza kuhama chuo cha TEKU - Iringa kwenda St John dodoma. Na mkopo je waweza kuhamishwa?
 
Nenda TCU mapema ili wakubadilishie chuo kabla fedha yako haijapelekwa kwenye chuo chako cha awali.
 
Nilikua naomba ushauri nimechaguliwa DMI shipping and logistic management na nika confirm huko lakin nikachaguliwa udom bachelor of chemistry je naweza kuhama kwa sasa ivi kwenda udom
 
Back
Top Bottom