Je naweza kuformat huaweii y 530 ambazo zinauzwa na tigo na kutumia line za mitandao mengine

Mr Penal Code

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
823
213
Habarini wadau poleni na majukumu naomba kuuliza je naweza kuzi format hizi simu zinazouzwa na Tigo HUAWEII Y 530 na kama inawezekana ni wapi naweza pata Huduma hii na Malipo yake yakoje asanteni sana:D:D:D
 
Wanaziuza bei gani? upo wapi?
  • Waweza kupata katika duka lolote la tiGo kwa tsh 195'000 tu
 
Back
Top Bottom