Je, naweza kuchaguliwa kwenda advance? nina division 2 ya point 19

Dec 27, 2020
5
6
Hellow..
Mimi ni muhitimu wa kidato cha nne nina divison 2 ya point 19 physics nimepata D chemistry B biology C math C Geography C
Je. naweza kuchaguliwa kwenda advance kwa combination gani?
 
advance ndiyo nini kama ulivyoitumia katika andiko lako? Is your sentence grammatically correct? eti umemaliza form 4!
 
Hellow..
Mimi ni muhitimu wa kidato cha nne nina divison 2 ya point 19 physics nimepata D chemistry B biology C math C Geography C
Je. naweza kuchaguliwa kwenda advance kwa combination gani

Hongera kwa kufaulu vizuri! Unaendelea na masoma bila wasi wasi. Unachaguliwa huko utakako, jiandae tu kama laki 4 hivi za kuingia huko.
 
Hellow..
Mimi ni muhitimu wa kidato cha nne nina divison 2 ya point 19 physics nimepata D chemistry B biology C math C Geography C
Je. naweza kuchaguliwa kwenda advance kwa combination gani?
Achana na advance Kama wazazi wako vizuri kiuchumi wakupeleke chuo ukasomee fani. Advance hakuna fani huko.​
 
Hellow..
Mimi ni muhitimu wa kidato cha nne nina divison 2 ya point 19 physics nimepata D chemistry B biology C math C Geography C
Je. naweza kuchaguliwa kwenda advance kwa combination gani?
Hivi Imeshafikia hatua ukipata div 2 haujiamini?Miaka yetu ile ukipata div 2 ujue wewe ni msafi
 
Kwanza hongera kwa kufaulu vizuri.

Hapo advance umepata. Ni chaguo lako tu katika kombi zifuatazo za sayansi- PCM, PCB, CBG. Lakini sikushauri kwenda CBG kwa sababu kwa mazingira ya sasa hivi hiyo kombi huwezi baadae kuchukua U-daktari wala U-nurse. wakikuchagua huko na huna uwezo wa kubadilisha, ni bora ukachukue Diploma ya Clinical officer (CO), ambayo ukipiga vizuri (GPA Zaidi ya 3.5) baadae unaweza kuomba kozi ya U- daktari.
 
Back
Top Bottom