je naweza kosa haki yangu kwa kutokuijua sheria? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

je naweza kosa haki yangu kwa kutokuijua sheria?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Kalunguine, Aug 25, 2011.

 1. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #1
  Aug 25, 2011
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  wana jamii, nahitaji msaada wenu juu ya hili! je naweza kosa haki yangu kwa kutokujua sheria? sikulipia mzigo wangu insuarance, now umepotea, naambiwa siwezi rudishiwa exact value ya mzigo wangu sababu sikuulipia insuarance! nifanye nini?
   
 2. s

  silanga Member

  #2
  Nov 8, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pole sana mdau ignorance of law is not a defence
   
 3. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #3
  Nov 8, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Yes, unaweza kupoteza haki yako kwa kutojua sheria. Na ndio hicho kinafanyika kila la leo.
  ungeeleza facts zaidi. Mzigo huo ni kitu gani? (kuna mizigo mingine inaweza kuwa inalindwa kisheria automatically). Ulikuwa unausafiri kwa kupitia nini? na kwa kampuni ipi? uli-sign nao mkataba? huo mkataba umeusoma vizuri? Unaeleza nini juu ya kupotea kwa mizigo? Jibu hayo kwanza...then tutajua zaidi....
   
Loading...