Je, Nani kuibuka Mkali kati ya hawa Wanaume?

blogger

JF-Expert Member
Mar 13, 2012
10,418
12,563
Wapi unaiweka karata yako ( Joshua vs Ruiz, Dec 7th. The Clash of the Dûnes)? Haitokuwa kazi rahisi. Kwani wote wako fiti mnooo.. Ila pambano hili Ruiz anaingia na confidence wakati Joshua anaingia na hofu ya kisaikolojia.

Jumamosi hii.....
download (2).jpeg

Hapa Chini Joshua akishindwa endelea walipokutana
download.jpeg
 
Attachments

  • boxing_video.mp4
    17.9 MB
AJ ana mbinu moja tu, kushambulia kwa nguvu na kushtukiza. Anapiga body shots nyingi kwa wakati mmoja kujaribu kumdhoofisha mpinzani. Ruiz simjui kihivyo lakini kwa gemu 2 nilizomuona nimemheshimu kwa pumzi, kitu ambacho AJ hana.

Ikiwa AJ atamkosa KO Ruiz ndani ya round 3 za kwanza upo uwezekano mkubwa mchezo ukajirudia. Hii inanikumbusha sometime in 1992 niliona nguruwe akimtafuna nyoka mzima mzima, nyoka anang'ata lakini nguruwe anaendelea kumkata vipande na mwisho alimla wote. AJ asipopata kichwa cha Ruiz, asitegemee kushinda kwa kung'ata mafuta ya nguruwe. Sumu haipiti mule
 
Nimeona AJ kapunguza mpaka mwili ili awe na speed zaidi ili aweze kutembea kwenye code za chibonge,na AJ wakati anahojiwa alitamka wazi kabisa kwamba hili pambano linaweza lisiwe LA mwisho kati yake yeye na Andy Ruiz that means jamaa kajiwekea doubt kwamba anaweza kuchezea au ikawa draw wakarudiana tens but trust me ukiwa bondia mzuri km AJ once in your boxing career lazima atokee bondia wa kukusumbua ila this time Andy Ruiz anapigwa vibaya mno,
 
AJ ana mbinu moja tu, kushambulia kwa nguvu na kushtukiza. Anapiga body shots nyingi kwa wakati mmoja kujaribu kumdhoofisha mpinzani. Ruiz simjui kihivyo lakini kwa gemu 2 nilizomuona nimemheshimu kwa pumzi, kitu ambacho AJ hana.

Ikiwa AJ atamkosa KO Ruiz ndani ya round 3 za kwanza upo uwezekano mkubwa mchezo ukajirudia. Hii inanikumbusha sometime in 1992 niliona nguruwe akimtafuna nyoka mzima mzima, nyoka anang'ata lakini nguruwe anaendelea kumkata vipande na mwisho alimla wote. AJ asipopata kichwa cha Ruiz, asitegemee kushinda kwa kung'ata mafuta ya nguruwe. Sumu haipiti mule
Haahhahaa.... Mkuu huo mfano wa Nguruwe kiboko.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom