kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 8,371
- 10,010
Where God directs,he provides!....jibu ndio hiloBaada ya Mwenyezi Mungu kumpa Mchoro kamili wa Ramani ya SAFINA nabii NUHU:- Unadhani Kwa Ufahamu unaoujua wewe au Kwa Dini uliyoisoma wewe, Huyu Nabii Nuhu alitengenezaje Boti ile Kubwa zaidi Duniani.. alipatawapi material na Nani Alifinance Project Yote!