Je, namba kubwa kuliko zote duniani ni ipi?

Hata infinity zitatofautiana ukubwa ipo infinity kubwa Na ndogo zingine converging(Zina value) Na zingine diverging....mfano wa converging ni 1+2+3+4+5+6+7+.....∞ =-1/12

Kitu cha kufurahia Ni Kuwa ugunduzi wa Kuwa hata infinity zitatofautiana ukubwa ndo ulisaidia uvumbuzi wa smartphone
 
Naomba ufafanuzi wa connection ya black holes kwenye hii
Ni concept pana kidogo inahitaji mjadala wake. ila in nutshell wanasema at singularity inside a black hole, a point which contains a huge mass in an infinitely small space ,where density and gravity become infinite.
Tunajua from law of physics kuwa gravity inavyokua kubwa huvuta other bodies toward it, kama kweli at singurality kungekua na infinity gravity, ina maana ingemeza the whole universe ambayo ingekua reverse of big bang. kwahiyo kama icho kitu hakijatokea ina maana at singularity there is no infinity gravity.
Ndo maana nikasema binadamu tunaita kitu infinity pale uwezo wetu wa kufikilia unapogota.
 
Hata infinity zitatofautiana ukubwa ipo infinity kubwa Na ndogo zingine converging(Zina value) Na zingine diverging....mfano wa converging ni 1+2+3+4+5+6+7+.....∞ =-1/12

Kitu cha kufurahia Ni Kuwa ugunduzi wa Kuwa hata infinity zitatofautiana ukubwa ndo ulisaidia uvumbuzi wa smartphone
Naomba ufafanuzi wa connection kati ya smartphone na converging infinities
 
Ni concept pana kidogo inahitaji mjadala wake. ila in nutshell wanasema at singularity inside a black hole, a point which contains a huge mass in an infinitely small space ,where density and gravity become infinite.
Tunajua from law of physics kuwa gravity inavyokua kubwa huvuta other bodies toward it, kama kweli at singurality kungekua na infinity gravity, ina maana ingemeza the whole universe ambayo ingekua reverse of big bang. kwahiyo kama icho kitu hakijatokea ina maana at singularity there is no infinity gravity.
Ndo maana nikasema binadamu tunaita kitu infinity pale uwezo wetu wa kufikilia unapogota.
In that case, hiyo density na gravity ni finite, ila tu imeshindwa kuwa quantified
 
Ni concept pana kidogo inahitaji mjadala wake. ila in nutshell wanasema at singularity inside a black hole, a point which contains a huge mass in an infinitely small space ,where density and gravity become infinite.
Tunajua from law of physics kuwa gravity inavyokua kubwa huvuta other bodies toward it, kama kweli at singurality kungekua na infinity gravity, ina maana ingemeza the whole universe ambayo ingekua reverse of big bang. kwahiyo kama icho kitu hakijatokea ina maana at singularity there is no infinity gravity.
Ndo maana nikasema binadamu tunaita kitu infinity pale uwezo wetu wa kufikilia unapogota.
Kumbuka hata universe yenyewe Ni infinite
 
Kama universe ni infinite, ni kwanini bado ina-expand? Inaexpand kwenda wapi wakati tayari ni infinite? It must be finite, ila the realm to which it is expanding to is infinite.
 
Ni kweli. Haya jibu swali sasa.
Swali gani tena mzee?

No zimewekwa kwa namna ambayo zita weza kuaccomodate amount ya kitu chochote katika ulimwengu. Ulimwengu ambao mwanadamu bado anauona ni kama infinite. (n+1) maana yake ni kwamba there is always a room for new discoveries.

How can u ask for the biggest no akati hata idadi ya nyota ulimwenguni huijui?
 
Ni kweli. Soma heading kujua swali, then jibu.
 
Kumbuka hata universe yenyewe Ni infinite
Hizo ni concept tu Mkuu, kumbuka our universe ambayo unaiita infinite is a small part of multiverse, infinite cannot be part of infinite. Pitia pitia publication za cosmology utagundua kua infinite is an arbitrary concept.
 
Ni kweli. Soma heading kujua swali, then jibu.
The biggest no is the no beyond which nothing can be quatified to.

Kulingana na hiyo dfn yangu uwezekano wa kujua namba kubwa upo and so far the no is infinity sababu hakuna anaejua ukubwa wala idadi halisi ya vitu katika ulimwengu.
 
The biggest no is the no that nothing can be quatified to.

Kulingana na hiyo dfn yangu uwezekano wa kujua namba kubwa upo and so far the no is infinity sababu hakuna anaejua ukubwa wala idadi halisi ya vitu katika ulimwengu.
Well, (infinity) + 1 ni kubwa kuliko (infinity)
 
Tukiwapanga wanawake wote duniani kisha tuandike idadi ya watoto kwa kila mmoja. Say idadi ya watoto ianze 0 paka 30, no kubwa hapo itakua ipi? Je ni (30+1)?
Hapo hakuna no kubwa ya watoto zaidi ya 30.

The biggest no is the no beyond which nothing can be quantified to. Je unakubaliana na hii maana?

Niliandika kwamba value (ukubwa au udogo) ya namba inaonekana pale tu inapoonyesha amount ya kitu.
 
Sawa, swali si umeshalijibu au?, japo umekosa, maana namba yeyote utakayopata, wewe ongeza moja juu yake, then itakuwa kubwa zaidi.
 
Hizo ni concept tu Mkuu, kumbuka our universe ambayo unaiita infinite is a small part of multiverse, infinite cannot be part of infinite. Pitia pitia publication za cosmology utagundua kua infinite is an arbitrary concept.
umeanza theories sasa..
 
Kama universe ni infinite, ni kwanini bado ina-expand? Inaexpand kwenda wapi wakati tayari ni infinite? It must be finite, ila the realm to which it is expanding to is infinite.
Infinite zinatofautiana ukubwa..kwahyo inaexpand to a bigger infinity
 
Back
Top Bottom