kama kila mwaka atatembea nusu ya umbali uliobaki, kweli hataKwa kuongezea tu infinity zimetofautiana ukubwa. Yaan kuna infinity ambazo ni ndogo ukilinganisha na nyingine. Mfano wa infinity ndogo ni swali alilowahi kuuliza mwanafalsafa mmoja anaejulikana kama Zeno, aliuliza hivi mfano mtu anataka kutoka ubungo mpaka mwenge lakini akaamua kwenye kwenda atakua akienda nusu tu ya umbali uliobakia....aisee ukitazama kwa undani utagundua huyu mwamba hatafika kamwe mwenge kwa sababu kila umbali utakaobaki unawezekana kugawanywa kwa mbili. Hili swali ni majudi juzi tu limeweza kuwekwa sawa.
Hata hivyo maswala ya infinity are beyond our imagination kama kutaka kufikiri universe bila muda.
fika.