FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,052
- 40,715
- Thread starter
- #121
Then haikuwa infinite to begin with...Infinite zinatofautiana ukubwa..kwahyo inaexpand to a bigger infinity
Then haikuwa infinite to begin with...Infinite zinatofautiana ukubwa..kwahyo inaexpand to a bigger infinity
Yani saa 100?1 X 1 = 1
1 X 2 = 2
1 X 3 = 3
100 X 0 = 0 why not 100 😁
Hizo ni digitsNje ya 0 hadi 9 hakuna namba kubwa zaidi ya hapo.
Ipo pitia hapa....👇Mpaka meo haijulikani number ya mwisho ya prime
sifuri au zzZIRO ndio namba kubwa zaidi duniani,,,manake inawakilisha kwa hamna kiti la ni kila ikiongezwa mbele ya namab nyingine ina kuwa mapesa mengi mfano,,,,20,200,20'0000,200,000,000/=......manake ni kwamba hatakisicho na maana kina maana!!!!.........Je, kunauwezekano tukaifahamu namba iliyokubwa kuliko zote kabisa? Na kama huo uwezekano haupo ni kwanini?
Nahisi Namba kubwa ni 99Nje ya 0 hadi 9 hakuna namba kubwa zaidi ya hapo.