Je, Nafsi huenda wapi?

Nifahamuvyo mimi nafsi inahusisha; haiba, elimu, ujuzi, tabia, hekima, weledi na mambo kama hayo! Katoto kanavyozaliwa kana mwili, roho na nafsi ambayo mara nyingi ni "emotions" na "instincts"! Sasa sisi wazazi tunaiendelza nafsi yake kwa kumpa maarifa mbalimbali yamkini mengine ni ya kudhibiti emotions na instincts zake hususani zilizo na matokeo hasi! Baadae huwa mtu mzima na kuiendeleza nafsi yake zaiidi! Kwa uelewa wangu huu nafsi ya mtu hubaki kumbukumbu duniani kutokana na kazi aloziacha! Ukatili, udikteta, uasi, utu, wema, mchapisho, majengo, sanaa, hila n.k. ni madhihirsho au matendo ya nafsi (rejea ee nafsi yangu mhimidi bwana)! Kwangu mimi nafsi ndiyo inayoidhibiti roho na mwili ili kupata matokeo mema! Nafsi inaweza kuikaribisha roho wa Mungu au Shetani! Kazalika nafsi ndiyo inayoyadhibiti matendo ya mwili! Mwili hudhihirisha nafsi ya mtu na yaliyomo rohoni mwake!
 
Nielewavyo mimi mwili ukishaachwa roho unaenda nyumbani/kwenye ulimwengu wa roho ama inaweza ikakomaa ikabaki ikitangatanga (lugha rahisi ndio hao wanaowaita mapepo nk)

Kuhusu kuzimu /motoni na bla bla mingine hivyo vitu havipo. Jaribu kutafakari mwenyewe unaichomaje moto roho@$?!#
 
Roho haina maumivu ila kitakacho fanyika ni kuujua ukweli na ukweli ndo utaitesa nafsi na roho
 
Sijui sana ukisema nafsi inamaanisha nn. But wewe ni unatengenezwa na wewe(roho) na mwili wako. Ukitulia vizuri ndio unaweza kuliona hilo. But tujue kuwa kuna physical na spiritual plane. Mwili wako unauhitaji katika hii physical plane na roho yako ambayo ni wewe mwenyewe ipo active katika spiritual plane. So mwili ukifail kubaki katika physical ndio tunaita kifo then wewe(roho) ndio unarudi ulipotoka katika spiritual plane. Kama umeondoka duniani mtupu basi hata ukifa utakuwa mtupu, huna consciousness kama ambavyo ulikuwa kabla hujazaliwa but ukipata kilichokuleta duniani hata kabla hujaondoka utakuwa na muunganiko wa spiritual na physical so ukifa kinakuwa sio kama kifo cha kingine ila unaanza kuishi pure spiritually sababu body inakuwa ime fail. Hiyo nafsi sijui labda tukubaliane ni kitu gani then ndio tuelezee.
 
Mh jamani mbona haya mambo nimagumu hivi??ok siku tukifa tutayajua yoote haya,nauhakika katiyetu woote hakuna atakaye fika mwaka 2100 so just wait
 
Mh jamani mbona haya mambo nimagumu hivi??ok siku tukifa tutayajua yoote haya,nauhakika katiyetu woote hakuna atakaye fika mwaka 2100 so just wait

Ha ha ha watu wanataka wajue kabla ya kufa.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom