Je, na Yule aliyemrithisha Roho Mbaya Ole Sabaya kutokea Dar es Salaam naye atakamatwa ili afungwe miaka yake 670 lini?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,871
Nasikia kwa sasa Mr. Dar es Salaam hataki kabisa kutumia Mitandao ya Kijamii ( japo kuna muda) huwa anaibuka na pia anasoma mara Ujerumani mara Afrika Kusini na hata akiwa Tanzania amekuwa ni Msiri na Mtu wa Kujificha na kuhamahama kama Digidigi na hata wale Malaya wake wa Beach Kidimbwi akina Suzy na Asha bila Kumsahau na Yule Mwanaidi wa Juliana wamemmisi sana.

Kuna muda huwa nashindwa Kabisa kuielewa 'System' ya Tanzania na hapa ndipo GENTAMYCINE nahisi kuna Double Standards hivi Mru kama huyu Mr. Dar es Salaam ambaye anajulikana Kufanya 'Maasi' makubwa Mkoani Dar es Salaam na Tanzania nzima huku akimrithisha Mfungwa Mpya Ole Sabaya anawezaje Kuachwa tu atoke (asafiri) nje ya nchi?

Haya sasa baada ya Ole Sabaya kuyaanza rasmi Maisha yake ya miaka 30 Gerezani tunawaomba wale Wote mlioumizwa, kuteswa, kudhulumiwa na hata Kutapeliwa na Mr. Dar es Salaam Mitege enzi zake (ukiwemo hasa Yusuf Manji uliyerejea tena kwa Dada yako nchini Canada) tafadhali fungueni Kesi dhidi yake ili nae akachezee miaka yake 670 Gerezani kwani kwa Makosa yake Yeye ni Nyangumi na huyu Ole Sabaya ni Papa tu.
 
I'd yako mkuu inanikumbusha dawa flan inayotibu endocarditis, meningitis na UTI.

kibaiolojia tunaiweka kwenye kundi la dawa tunazoziita aminoglycoside antibiotics
 
Kwahiyo kwa lugha nyepesi na Maelezo yako yote haya unataka kusema nini Kwangu?
Anasema wewe ni dawa ya kutibu fungus haswa sehemu za siri. Unaipaka ila hujui lini watakauka. Hivyo mada yako ni nzuri ila unataka tufanyaje mkuu wangu.. tupe muongozo.. kwanini na bashite hajakamatwa hadi sasa?
 
Unadhani ndo sabaya aliyeamua kufa na aliyekufa(mwendazake) ...wanamwogopa yule na kile kithembe atakufa na wasiojulikana hai
 
Back
Top Bottom