Je, na mimi ni jipu??

Wakuacha

JF-Expert Member
May 19, 2015
2,041
1,323
Habari wana Jf...

Mimi niliajiliwa miaka saba iliyopita.....kwa kweli hili swala LA vyeti linanikondesha na linapelekea kupoteza furaha yangu kila nikumbukapo yale maneno aloyatamka Mkuu Wa polisi kanda maalumu ya Dar es saalaam....

Najiuliza je na Mimi ni jipu....Mimi mwaka 2009 niliajiliwa na post yangu ya kwanza ilikuwa Bunda. Ni kweli chet nilichotumia kuingilia hakikuwa cha kwangu lakini baada ya kuingia tu kazini nikasoma Qt hiyo 2010 na 2011 nikafaulu baadae 2013 nilifanya mtihani Wa kidato cha sita na pia nilifaulu vizuri ..baada ya hapo nilijiunga na chuo kikuu huria 2013 nategemea kugraduate mwaka huu yaani 2016...lakini kazini bado sijavisajili hivi vyeti vingine.....vya QT naombeni ushauri wenu juu ya hili......
 
kazi unayofanya qualification yake kuipata ilikuwa nn? ww ulitumia chet cha mtu cha level gan kupata kazi?
 
huyu ndo aliyesababisha mimi kukosa nafasi ya kazi kisa yeye kachangia kuzijaza.
Sasa ngoja nm-report kwa Magu

Cc: mh Magufuli
Vitu vingne ni hatari kuvipost,mm mwenyewe nina uchungu na majipu coz cheti changu cha form 4 kilipotelea shuleni yaani we jitangaze tu make ajira ya zamani ww ni jipu apply ajira mpyaaà ndo utaeleweka mkuu
 
Back
Top Bottom