Je? Mzengo Kayanda Pinda Mtoto wa mkulima anafaa kulaumiwa kw hl la Kilimanjaro star?

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,219
Wanamichezo humu JF! Mi kama mimi naona mchezo wa Tanzania Vs Zimbabwe kama nilivyoifuatilia Mi naona huyu (PM) wa serikali tawala anafaa kulalamikiwa mpk mwisho. KISA NI AHADI YAKE KWA WACHEZAJI AMBAYO ALIAHIDI NA HAJAKAMILISHA NA WACHEZAJI WAKAAMUA ACHA TU WATOKE KWENYE MASHINDANO HAYA AMBAYO YALIKUWA MUHIMU SANA KWE2! Mzengo kayanda Pinda Peter hili ni lake jamani!
 
Back
Top Bottom