Je,mwenye diploma ya engineering anaweza kuchukua degree yoyote ya koz za business?

The_Emperor

JF-Expert Member
Mar 23, 2012
871
125
Wadau wa jamii forums naomba kujua kama mtu ambaye ana diploma ya engineering anaweza kuchukua bachelor yoyote ya koz za business!
 
Anaweza sana. Mimi nilisoma Post Graduate Diploma in Business Administration pale IFM. Tulikuwa watatu na wote tulifanya vizuri sana. Wawili tulikuwa na ADVANCED DIPLOMA OF Mech. Engineering na mwezetu alikuwa na Advanced Diploma ya Telecommunication. Wote kutoka DIT. Sasa hivi wengine wanaendelea na Masters hizo hizo Mzumbe na IFM.
 
Wadau wa jamii forums naomba kujua kama mtu ambaye ana diploma ya engineering anaweza kuchukua bachelor yoyote ya koz za business!

What Does It Mean "The Professional"

Hi, Members kindly assist me to know the exactly professional of my friend as he has got the following Qualifications;

1. Diploma in Electronic Engineering.
2. Bachelar of Commerce in Finance(B.com,fin)
3. Master of Business Administration (MBA)
4. Post Graduate Diploma in Entrepreneurship and Enterprise Development (PGDEED)
5. He is doing Business more than 10 yrs.

So what is his profession as per that qualifications ? ? ?

https://www.jamiiforums.com/jamii-intelligence/232086-what-does-it-mean-the-professional.html
 
business engineer
 
Kama biashara yake ni katika nyanja ya uinjinia ina maana amejiimarisha kwa kujiongezea ujuzi katika fani za biashara. Hizo degree no. 2 na 3 na diploma (no.4) ni katika maswala ya kibiashara. Ni mchanganyiko mzuri kwa mfanyabiashara/mjasiriamali.
 
Back
Top Bottom