Je mwanzo wa mwisho wa Bashir umewadia baada ya 'waarabu' wa Sudan kujitambua? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je mwanzo wa mwisho wa Bashir umewadia baada ya 'waarabu' wa Sudan kujitambua?

Discussion in 'International Forum' started by mpayukaji, Jun 21, 2012.

 1. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Khartoum wameamua kuutolea uvivu utawala wa muda mrefu wa kidikteta wa Omar Bashir kwa kuwataka wananchi waamke na kuuangusha wazi wazi. Pichani askari wakitumia nguvu kuwatawanya wanafunzi ambao wamekuwa wakiandamana kwa siku tano mfululizo. Kwa habari zaidi
  BONYEZA hapa.
   
Loading...