Je, mwanaume anaweza kumbaka mke wake wa ndoa?

Very old fashioned gentleman. One thing you have to understand is that women have feelings too and relations must be a two way street to enjoy it to the fullest
Mimi nameongea kisheria wewe unaleta hisia na mambo ya morality? Chaaa!
 
Hiyo ni according to western matango pori. Mnamezeshwa tuu. We unajua baba yako kambaka mara ngapi mama yako kwenye ndoa miaka yote waliyoishi tena wakakulea na wewe hadi umri huo ulio nao ukawa na akili hiyo ya kujamba jamba tu na bado wapo wote tu? Mbona mama yako hakuwahi kumshitaki baba ako kambaka? Mbona na nyie mmeishi na kukua vizuri tu bila kuathiriwa? Mbona wana heshima mbele ya jamii??

Acheni kumezeshwa upupu na nyor mkawa mavuvuzela tu. Ndo nyie mnaulizwa "Tuambie your best couple unakimbila kutaja ya Jay Z na Beyonce ama Macron na bibi kizee wake ama Kanye na Kim" unasahau kama kuna best couple imekulea miaka zaidi ya 20 na bado inazidi kukulea na haijawahi kutengana regardless challenges nyingi walizokumbana nazo. Hopeless
Isitoshe huo upuuzi wao haupo kisheria.Kwetu Afrika ukiolewa unalala bila chupi ukinifanya hutaki kupigwa pumbu unalazimishwa na hakuna kosa la kubaka hapo.Waache kuwa mavuvuzela
 
hamna ubakaji huo kulingana na imani za dini ila kisheria twaweza sema ndiyo ila ushahidi unapatikanaje?
 
Mambo ya kujamiiana ndani ya ndoa hayahitaji nguvu nyng, ukiona mwanandoa yyte analalamika kulazimishwa ngono na mme/mke wake basi ujue something is wrong in that marriage.
Nakubaliana na wewe.

Nimejaribu kutafakari sana tangu nilipoanza kusoma mada hii tangu kichwa cha habari. Nimeshindwa kabisa kuelewa dhana ya "marriage rape". Yaani sipati picha! Kivipi yaani! Eti mke aseme "amenibaka mume wangu" au mume "amenibaka mke wangu"!!!! Kweli? Katika hatua hiyo juwa hakuna upendo baina yao, hivyo frankly speaking hakuna ndoa hapo.

Yaani hata ninyi wanasheria fahamuni kuwa hadi kufikia mazigira hayo tambueni kwamba, kama mchangia alivyosema, ni kwamba should be something wrong.
 
Unawashauri upuuzi dada zako. Ukininyima tumbua lako nikamuomba mwingine akanipa utanilaumu kweli?? Msimezeshwe kila kinacholetwa. Huu ndio mwanzo wa migogoro kuongezeka katika ndoa
Hakika Mungwana umenena vyema.

Halafu wakipataga michepuko huko nje ndiyo viburi na jeuri vinahamia ndani.
 
Sidhani kama sheria ya "Marital rape" ipo Tanzania, wanasheria tusaidieni kwa hili. Kwani Mwingereza aliipitisha mwaka 1991.

Marital rape or spousal rape is the act of sexual intercourse with one's spouse without the spouse's consent. The lack of consent is the essential element and need not involve violence. Marital rape is considered a form of domestic violence and sexual abuse. Although, historically, sexual intercourse within marriage was regarded as a right of spouses, engaging in the act without the spouse's consent is now widely recognized by law and society as a wrong and as a crime. It is recognized as rape by many societies around the world, repudiated by international conventions, and increasingly criminalized.
 
Ulichoandika ni kweli kabisa.
Wabunge wetu[vyama vyote], hivi sasa tunapigana na gender violence na moja ya udhalilishaji mkubwa kwa wake zetu ni hili la kulazimisha tendo la ndoa hata kama mke hataki. Ukweli uliodhahiri ni kwamba hili kosa moja kubwa ambalo linaonekana kama la kawaida.
Hadi sasa ,Ghana,India,Indonesia,Jordan,Lesotho,Nigeria,Oman,Singapore, Sri lanka na Tanzania ndiyo nchi pekee zilizohalalisha kitendo hiki.
Wabunge kina mama, huu ndiyo wakati wenu wa kulisimamia hili [bila kujali itikadi] hadi hii sheria ya kishenzi iondolewe.
Kwanini uolewe wakati hutaki kufanya tendo la ndoa?
Kukubali kuolewa ni sawa ni kuhalalisha tendo la ndoa, haya mambo ya kuiga iga mambo ya western countries kuna muda inabidi tuwe makini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla ya kufunga ndoa walikuwa wanachapana mpaka vitanda vinavunjika! Ila wakishakaa kwenye ndoa kwa muda, kuzaa, kuzoeana mno basi hii patashika lazima itokee tu?!
Ni shida kwa kweli...
 
Kabla hujajidai unajua haki za kutobakwa muulize mama yako "alishabakwa" mara ngapi na baba yako? Na kamshitaki mara ngapi? Na angemshtaki mara zote hizo unafikiri wangekuwa pamoja mpaka leo? Mzee angekuwa gerezani!! Weee nae ungekuwa hapo ulipo??

Mnakaririshwa tu pumbaffff

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unazungumziaje ubakaji ndani ya ndoa? Je mwanandoa anaweza kumbaka mwandani wake??

Kulingana na ibara 130(2)(a) ya kanuni ya adhabu(penal code as amended by SOSPA) Ubakaji ndani ya ndoa hautambiliki isipokuwa tu pale wanandoa wanapotengana (during period of legal separation) kwa misingi mme aweza kumbaka mke wake na haitakuwa kosa mbele ya sheria.

Unalichukuliaje swala hili? Mabadiliko yapi yafanyike ili kulinda wanawake walioolewa?
Mke Taanzania habakwi.Hiari yake huitoa Mara tu akikubali kuolewa.In halali kisheria mume kufanya naye tendo bila kumuomba.African jurisprudence iko hivyo.Mambo ya mume kumbaka mkewe yako Ulaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unazungumziaje ubakaji ndani ya ndoa? Je mwanandoa anaweza kumbaka mwandani wake??

Kulingana na ibara 130(2)(a) ya kanuni ya adhabu(penal code as amended by SOSPA) Ubakaji ndani ya ndoa hautambiliki isipokuwa tu pale wanandoa wanapotengana (during period of legal separation) kwa misingi mme aweza kumbaka mke wake na haitakuwa kosa mbele ya sheria.

Unalichukuliaje swala hili? Mabadiliko yapi yafanyike ili kulinda wanawake walioolewa?
Kubaka ni kitendo cha mwanaume kumlala MTU make bila ridhaa yake.Africa ridhaa huangaliwa Siku ndoa ,Je MTU mke aliridhia kuwa mke wa huyo MTU mume? Kama jibu ni ndiyo basi mume hawezi kubaka maana mke alisharidhia siku ya ndoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulichoandika ni kweli kabisa.
Wabunge wetu[vyama vyote], hivi sasa tunapigana na gender violence na moja ya udhalilishaji mkubwa kwa wake zetu ni hili la kulazimisha tendo la ndoa hata kama mke hataki. Ukweli uliodhahiri ni kwamba hili kosa moja kubwa ambalo linaonekana kama la kawaida.
Hadi sasa ,Ghana,India,Indonesia,Jordan,Lesotho,Nigeria,Oman,Singapore, Sri lanka na Tanzania ndiyo nchi pekee zilizohalalisha kitendo hiki.
Wabunge kina mama, huu ndiyo wakati wenu wa kulisimamia hili [bila kujali itikadi] hadi hii sheria ya kishenzi iondolewe.
Acha kuwalisha tango pori.Kwanini uolewe kama hutaka kutoo....b....wa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Mimi mpaka leo naona ni ngumu ku-prove marital rape hata kama sheria inaitambua.utajuaje kama kweli mke amebakwa na mumewe au mke amembaka mumewe kama wakati wanafanya hivo walikuwa wawili tu? Je mhusika akikataa akasema sikubaka utakuwa na ushahidi?
Mwanaume pekee ndo hubaka.Mwanaume anabaka habakwi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu,by necessary implication,ukiamua kuolewa umetoa general -consent ya kugegedwa. Sasa issue inakuja from general rule kuna exceptions kama vile mkiwa kwenye separation, au ndoa yenu imekua declared irreparable broken down na mahakama. Ila ukiwa ndani ya ndoa, toa tu ushirikiano mama hakuna namna.
Hata wakati wa separation na divorce inategemea.Haiwezi kuwa ubakaji ikiwa tumefanyia katika mazingira yanayoakis kuwa tumekubaliana .Pia mila na desturi lazma ziangaliwe refer:R v.Mpagema Chalo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni according to western matango pori. Mnamezeshwa tuu. We unajua baba yako kambaka mara ngapi mama yako kwenye ndoa miaka yote waliyoishi tena wakakulea na wewe hadi umri huo ulio nao ukawa na akili hiyo ya kujamba jamba tu na bado wapo wote tu? Mbona mama yako hakuwahi kumshitaki baba ako kambaka? Mbona na nyie mmeishi na kukua vizuri tu bila kuathiriwa? Mbona wana heshima mbele ya jamii??

Acheni kumezeshwa upupu na nyor mkawa mavuvuzela tu. Ndo nyie mnaulizwa "Tuambie your best couple unakimbila kutaja ya Jay Z na Beyonce ama Macron na bibi kizee wake ama Kanye na Kim" unasahau kama kuna best couple imekulea miaka zaidi ya 20 na bado inazidi kukulea na haijawahi kutengana regardless challenges nyingi walizokumbana nazo. Hopeless
Siyo matango pori soma sheria vzr shida women are very quite hawataki kusema wala kushitaki make wanawaonea huruma lkn so matango pori

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom