Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 12,417
- 30,927
Wanaojua sheria za kimataifa hivi mfano Mimi ni rais halafu kwa sheria zetu ninakinga ya kutoshtakiwa kwa Mambo niliyoyafanya nikiwa madarakani.
Je, siku nikiondoka madarakani halafu nikaenda India kutibiwa kwa mfano?
Je, wanaonitafuta wanaweza kunifungulia mashtaka nikiwa kwenye ardhi ya India? Au Kinga ya katiba ya nchi yangu Haina mipaka inatumika popote?