Je mwanamke unataka kufahamu mbinu za kumnasa kimahaba mwanaume unayempenda

Shy land

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
6,024
1,958
Kuna desturi inayoaminika na kujengeka katika mahusiano kwamba wanaume ni wepesi sana wa kuwasilisha hoja na dhamira zao juu ya uhitaji wao pale wanapotaka kufanya mapenzi, kuliko wanawake.(ni wanawake wachache sana wenye ujasili kama huo.

Hata hivyo wanawake wana mbinu za kimatendo zinazoambatana na mahaba yenye hisia kali ili kuwakilisha dhamira yao kwa kile wanachokihataji katika swala la mapenzi.

Kwa utafiti nilioufanya kwa kuhojiana na wanawake, huwanga wanaumia sana na kutumia mda mwingi wa kufikiri na kuunda mikakati sitahiki kwa ajili ya kumunasa yule anayempenda hasa ambaye hajawahi kufanya naye tendo.

Kiukweli wanaume tonatofautina sana(kwa hapa kila mwanaume JamiiForums utasaidie udhaifu wake kuhusu kunaswa na mwanamke kimahaba).

Pamoja na yote hayo kuna binu inayoweza kumnasa kimahaba mwanume yoyote unayemhitaji, kwa kumtizama kwa jicho la kimahaba huku ukipapasa tumbo lako kuelekea sehemu ya kitovu, huku ukifunua nguo uliyoivaa kwa umbali unaweza ukamwambia unajisikia kuwasha kwa lugha ya uchokozi.
 
Heheheeee....Yaaani hiyo mbinu imenichekesha sana..!! Khaaa..
 
hahaaaaa!!! nilivyoconcetrate kusoma hata ckutegemea hiyo ndiyo mbinu, kwahiyo milele hiyo ndio itakuwa mbinu???? duh!
 
Mimi akiwa na AKILI TIMAMU..yaan nikimuuliza yeye ni nani?kisha akinijibu kwa ufasaha huyo anafaa kabisa..
 
hahaaaaa!!! nilivyoconcetrate kusoma hata ckutegemea hiyo ndiyo mbinu, kwahiyo milele hiyo ndio itakuwa mbinu???? duh!

Nakuambia hapo hubakizi mwanaume yoyote unayemtaka utanasa.
 
Mhhh?hiyo mbinu imekaa kichangudoa hivi!What if jamaa hakutaki si ndio utakuwa umejidhalilisha?Mhhh!!!mie hiyo hapana kwa kweli bora tu nimwambie face to face kuwa nakupenda kuliko kujifunua funua

Ukimwambia live, ndio unaharibu kabsa kama hakutaki, lakn kama ukitumia binu hiyo lazm dama anyonye!
 
Hahaha nimechekaje?!! yaani paja langu nimfunulie mwanaume? na asiponipenda? Laa! nitamkatia jicho la mahaba tu!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom