Je mwanamke mwenye umri zaidi ya miaka hamsini anaweza kuolewa na kuzaa

Namdawa

Member
Oct 13, 2009
36
18
Mara nyingi utakuta mwanamume mwenye umri wa zaidi ya miaka sitini anaoa na kuzaa na mwanamke wa umri wowote ule na mara nyingi wanaume wenye pesa ndio wanafanya hivyo na wanawake wanawakubali.Je kwa mwanamke inakuwaje?
utakuta mwanamke huyu anajua kupenda na kuwa na hamu ya kuwa na mume lakini inakuwa ngumu kutokana na umri wake wengi wanaogopa kuwa hawezi kuzaa wala kuoa mwanamke wa jinsi hii hivi ni kwa nini?
 
Wanaolewa wengi tu na wengine wanakuwa hawajawahi kuolewa, ukiwatizama huwezi amini wana miaka 50. Mwaka juzi mwenzetu mmoja aliolewa akiwa 50+ mdada mrembo tu na hakuwa amewahi kuolewa.

Kuhusu kuzaa inategemea kwa kutumia njia gani na kama wamefikia umri wa kukoma kupata siku zao. Kuna njia nyingi za kupata watoto kwa kupandikiza, n.k, n.k.
 
natamani huyo mdada aliyeolewa na 50+ atueleze siri ya mafanikio yake kwani namin wapo wengi ambao wamekata tamaa
 
KUNA maswala mawili apo
km kuolewa yes inawezekana ..watu wameoana wana miaka 70...km kampata mjane mwenzake au alichelewa basi poa....wanaoana
2.swala la kuzaa ni kitendawili kingine...hpfull HAWEZ KUZAAA cz ata utamaduni wa kike ule anakuwa amestop tayar...
 
KUNA maswala mawili apo
km kuolewa yes inawezekana ..watu wameoana wana miaka 70...km kampata mjane mwenzake au alichelewa basi poa....wanaoana
2.swala la kuzaa ni kitendawili kingine...hpfull HAWEZ KUZAAA cz ata utamaduni wa kike ule anakuwa amestop tayar...

usinisahau kwenye lunch, si unakumbuka kile kiporo cha wali na kisamvu?
ukinisahau tu, nakununia!
 
je kama bado anapata siku zake bila wasiwasi wowote.Nasema hivyo kwani kwangu nilipoongea naye yote yalionekana kuwa yapo sawa
 
Tunasoma mara kwa mara kama sio kila mwaka wanawake vizuka wanapata watoto nchi nyingine. Hata hapa wapo ila huwa haiandikwi. Kwa 50+ nadhani anaweza kubeba mimba kama hajakoma siku zake maana wengine hadi 50+ wanakuwa bado wanapata. Lakini kiafya nadhani anakuwa kwenye danger zone ya uzazi salama na kupata mtoto salama. Vinginevyo may be kama njia nyingine za kitaalam zitatumika kumpandikiza huyo mtoto kwa kupata yai la baba na mama. Mambo mengi kisayansi yanafanya hayo kuwa rahisi.
 
kama hajafikia menopause anabeba mimba kama kawaida.ila kunaweza kua na complications wakati wa delivery due to old age.na ndio maana wanashauriwa wanawake waliofika miaka 45 kwenda juu wasizae hata kama hawajafika menopause
 
.....nimempa mimba mama wa kikorea wa miaka 51. nilikutana nae senegal nilipoenda kozi ya miezi minne nikawa naishi nae hoel moja tukaanzisha urafiki wa kimapenzi nikawa nakula kavu. baada ya miezi miwili akarudi kwao. baadae kanieleza ana ujauzito wangu maana ana almost mwaka haja-do. amesema nisi-worry atalea mwenyewe. sasa ni mimba ya miezi 7. so huwa inatokea even at 50+ age. mimi nina miaka 36 sasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom