Je, mwanamke kuwa na wanaume wengi kabla ya kuolewa nini sababu? Na akishaolewa anaweza kubadilika na kutulia?

Wanaume wengi unaongelea wangapi kwanza!! Mbona huwa tunakuwa tumekuwa na mmoja tu na wewe ndio wa pili
 
Wanaume wengi unaongelea wangapi kwanza!! Mbona huwa tunakuwa tumekuwa na mmoja tu na wewe ndio wa pili
Mkuu kwa mwanamke kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanaume kuanzia 3 kwa Wakati mmoja tayari niwengi. Nature ya mwanamke sio sawa kupitiwa pitiwa ndio maana mwanamke akifanya hivo bas utaskia mhh flan ashatumika Sana tofauti na me.
 
Kunguru hafugiki.. !
Usioe mtu kwa kigezo utambadilisha au atabadilikia.. hii ni mistake!!

Uki puuzia zile signs uatakazoziona wakati wa mahusiano... imekula kwako.
Yaani hii ni point muhimu sana. Kama demu ulikuta breki pumbu usijidanganye kabisa kuoa. Itakula kwako tuu
 
Swali, kwanini mada yako imelenga wanawake tu na si wanawake na wanaume?
Mkuu nimeona ni vema tu kuwa specific katika hili na sjamaanisha vyovyote vile inavyoweza kufikiriwa. Na katika uhalisia wa nature pia mwanamke anapaswa kujitunza zaidi kuliko me. Hii Ni katika kujiweka katika Hali Bora zaidi kwa sababu ya kimaumbile na hata katika swala la magonjwa mwanamke nirahisi Sana kupata maambukizi kuliko me.
 
Mkuu kwa mwanamke kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanaume kuanzia 3 kwa Wakati mmoja tayari niwengi. Nature ya mwanamke sio sawa kupitiwa pitiwa ndio maana mwanamke akifanza hivo bas utaskia mhh flan ashatumika Sana tofauti na me.
Mnataka mfaidi peke yenu!! Tumestuka, nyie shutumuni tu.
 
Jasiri huwa haachi asili!
Itategemea jinsi gani utaweza kummiliki!
Ila njia rahisi ya kummiliki ni wewe kuwa na pesa ndefu na kitandani umridhishe vya kutosha!
Yaani kwa ujumla uwe daraja la juu kidogo ya wale alokuwa anawazungukia!
Lakini ukiwa hoi mfukoni na kitandani maji yakakuzidi unga, aisee hapo lazima atakupangisha foleni tu!
ukikosa hela automatically kitandani haufai
 
Mkuu nimeona ni vema tu kuwa specific katika hili na sjamaanisha vyovyote vile inavyoweza kufikiriwa. Na katika uhalisia wa nature pia mwanamke anapaswa kujitunza zaidi kuliko me. Hii Ni katika kujiweka katika Hali Bora zaidi kwa sababu ya kimaumbile na hata katika swala la magonjwa mwanamke nirahisi Sana kupata maambukizi kuliko me.

Mwanamke ni rahisi kupata magonjwa? Hii sayansi ya wapi mkuu?
 
ukikosa hela automatically kitandani haufai
Hapana kukosa pesa na kuwa fit kitandani ni vitu 2 tofauti!
Mfano niliwahi kuishi na jirani yangu alikuwa na mfanyakazi wa kiume ambaye alikuwa anatunza kuku na ng'ombe wa maziwa, mume alikuwa CEO wa kampuni flani na mkwanja mrefu kabisa, lakini kitandani hakuwa fiti hivyo kuna nyakati mkewe alikuwa akiliwa tunda na huyu house boy na mke ndo alikuwa anampa pesa! Hapa ni kwamba mtaji wa jamaa ulikuwa sio pesa ali uwezo wa kupiga show!
 
Mwanamke ni rahisi kupata magonjwa? Hii sayansi ya wapi mkuu?
Mkuu hii Ni sayance,, otherwise Kama unataka kupingana nayo utoe fact za kuipinga.
IMG_20210902_115021_452.jpg
 
Mwanamume anayeweza kusimama na kujisifu mbele za watu kuwa ameoa ni yule tu aliyeoa Mke akiwa Bikra. Wengine wote mmeoa wake za wenzenu.

Fahamu kwamba hakuna "kuku" anayesahau mlango wa banda lake. Mwenye akili amenielewa.
Lakini hii huwa wenyewe wanaipinga Sana mkuu #..
 
Back
Top Bottom